Nahitaji fundi wa kupaka rangi ya nyumba

May 20, 2013
71
151
Wakubwa mliojenga nyumba shikamoni, nina kibanda changu kimeshapigwa plasta natafuta fundi wa kunipakia rangi, natambua wengi humu mmejenga naomba mnipatie namba ya fundi wa rangi. nitashukuru sana. Mahali nyumba ilipo ni dar es salaam ubungo.
 
kama na umeme utahitaji tuwasiliane 0718 30 21 32
 
Back
Top Bottom