GOD my watcher
JF-Expert Member
- Oct 9, 2019
- 299
- 269
Wapenzi wasomaji natumaini mu-wazima wa afya na kwa walio na changamoto za kiafya yeye aliyetuumba awafanyie wepesi na mrejee kwenye afya njema.
Kama mada inavyosema hapo juu nahitaji mtu ambaye anaujuzi tajwa nakuomba ujongee katika pm yangu tuongee machache ya kujenga kuusukuma uchumi wa kati.
NB. Awe hatumii pombe wala sigara na mtu anayeheshimu kazi.