Nahitaji fundi mzuri wa Tiles haraka

chamajani

JF-Expert Member
Sep 22, 2010
552
31
Asiwe Bahatisha Ndurute, ni PM au weka hapa jamvini bei yako kwa SQM. Nyumba ipo Dar, Temeke. Ukiweza kuweka picha za baadhi ya kazi zako itakuwa vema
 
Mkuu kuna Fundi anaefanyaga KZ zangu mm namuamini sana sio Mr bahatisha,Anaishi MBZ Nmba zake 0655 053 771 chek nae! anaweza kukufaa Kila la heri Mkuu!
 
Back
Top Bottom