Nahitaji faraja...!

Museven

JF-Expert Member
Aug 22, 2011
629
447
Mimi ni kijana wa kiume. Nahitaji msichana wa kunifariji & kuniliwaza kimapenzi! Awe girlfriend wangu mwaminifu na anayejua mahitaji ya mwanaume kimapenzi. Kwa mawasiliano PM me, please!
 
You seems to be very selfish! Uliwazwe wewe tuuuuuuuuu! Na huyo gal nani atamliwaza?
Anyway, kila la kheri.

Mimi ni kijana wa kiume. Nahitaji msichana wa kunifariji & kuniliwaza kimapenzi! Awe girlfriend wangu mwaminifu na anayejua mahitaji ya mwanaume kimapenzi. Kwa mawasiliano PM me, please!
 
duh heri yako umeamua kuweka wapi nini unahitaji maana hapo hutangazi ndoa hahahahah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom