Nahitaji eneo la kufungua Chuo Arusha, napokea ushauri

ladyfocus

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
970
706
Habari wakuu,

Nimejikusanya nataka nijiajiri kwa kufungua chuo cha ufundi mkoani Arusha, nahitaji eneo kwa ajili ya hii project, kuna mawili nipate eneo la kupanga bei iwe rafiki au mtu mwenye majengo yake tuingie ubia. Pia kama mtu ana ushauri wowote napokea.

Shukran
 
Chuo cha ufundi upi ,jieleze na litahitaji ukubwa wa eneo kiasi gani, then nikupe information
 
Nina Jamaa zangu wengi huko ngoja niwaulize.Ila jibu swali ufundi wa nini?
 
Chuo cha ufundi upi ,jieleze na litahitaji ukubwa wa eneo kiasi gani, then nikupe information
fani mbalimbali tu kulingana na demand nitaanza na kozi chache halafu bàadae nitaongeza mfano ushonaji nk
 
Habari wakuu, nimejikusanya nataka nijiajiri kwa kufungua chuo cha ufundi mkoani Arusha, nahitaji eneo kwa ajili ya hii project, kuna mawili nipate eneo la kupanga bei iwe rafiki au mtu mwenye majengo yake tuingie ubia. Pia kama mtu ana ushauri wowote napokea. Shukran
Kama unahitaji eneo zuri la kununua kwa bei rahisi kabisaaa basi uni PM sasahv
 
Back
Top Bottom