agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,391
Ila kwa hizi mbio za magu kitambi kitakuwa kimeisha .Yaani wamenifukulia kaburi mwenzao
Ila kwa hizi mbio za magu kitambi kitakuwa kimeisha .Yaani wamenifukulia kaburi mwenzao
Eee cha haja
Mumy Fanya tu mazoezi kitapungua hizi diet hutaziwezaHivi jamani hakunaga diet simple kwa sie wenye kupunguza vitambi Maana diet nyingi utasikia asubuhi kunywa fresh juice ya appe sijui tikiti, mchana kula kuku au samaki,Jioni anataja vikorokoro akina sie hata hatuvijui.
Hivi jaman hakunaga diet ya sie wala matembele?
Mambo yote yapo kwenye sayansi ya mapishi tu kwa Dr. Boaz Mkumbo ukimfollow huyu hutajutaHivi jamani hakunaga diet simple kwa sie wenye kupunguza vitambi Maana diet nyingi utasikia asubuhi kunywa fresh juice ya appe sijui tikiti, mchana kula kuku au samaki,Jioni anataja vikorokoro akina sie hata hatuvijui.
Hivi jaman hakunaga diet ya sie wala matembele?
Hahaahah. Lol eti namwachia Mungu... Eeh Mi nimegain like 4kg.. Nimeanza leo water fast... Nitafanya as long as I can withstand... Day one tu kakitambi kalikosababishwa na kula sana junks wakati wa Christmas kameshuka.. Nataka nirudi zangu kwenye 65....Mie mwenyewe sikukuu zikiisha naanza diet
Nina mpango wa kufast juice siku tatu kila wiki kwa wiki nne
Kureplace dinner na juice kwa siku mbili kwa wiki ndani ya wiki nne
Na kupunguza carbohydrates +fats
Kisipopungua baaasi namwachia Mungu
Mazoez yataka moyo.. Mi kinaisha tu nisipokula wanga na SukariMumy Fanya tu mazoezi kitapungua hizi diet hutaziweza
Hahaahah. Lol eti namwachia Mungu... Eeh Mi nimegain like 4kg.. Nimeanza leo water fast... Nitafanya as long as I can withstand... Day one tu kakitambi kalikosababishwa na kula sana junks wakati wa Christmas kameshuka.. Nataka nirudi zangu kwenye 65....
Hahahhahhaha... Yaani wewe usinikumbushe.. Maana during Christmas si nimekula kama nahama.. Tarehe 27 kuangalia nimeongezeka katumbo kamevimba kwa msosi... Hahahhahhaha nikasema hell no.. Lazima nifanye water fast... Leo siku ya pili at least mzani umesogea nimepata relief na katumbo kameanza kuwa nomo...Aaah mie bado nakula kidogo
Mbona wamama zetu wa zamani hawakua na vitambiHivi jamani hakunaga diet simple kwa sie wenye kupunguza vitambi Maana diet nyingi utasikia asubuhi kunywa fresh juice ya appe sijui tikiti, mchana kula kuku au samaki,Jioni anataja vikorokoro akina sie hata hatuvijui.
Hivi jaman hakunaga diet ya sie wala matembele?
Water fast ndo inakuaje mkuu??Hahahhahhaha... Yaani wewe usinikumbushe.. Maana during Christmas si nimekula kama nahama.. Tarehe 27 kuangalia nimeongezeka katumbo kamevimba kwa msosi... Hahahhahhaha nikasema hell no.. Lazima nifanye water fast... Leo siku ya pili at least mzani umesogea nimepata relief na katumbo kameanza kuwa nomo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wamama zetu wa zamani hawakua na vitambi
Hii unakunywa maji tu na/au zero calories drink mfano green tea, kahawa bila Sukari au sweetener..