Nahitaji Desktop kuanzia core i3 na zaidi, Hp au Dell tuu.

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,551
1,776
Kama unayo, nitumie specs zake, picha na bei kwenye whatsapp no. 0715812160
 
Dell Optiplex 3020 Core i3 Desktop

Inter Core i3,4GB,500GB Hdd,Dvd Drive,Mouse,Keyboard,18.5 Inch monitor

Bei:mad:1,100,000/=TZS (Pamoja na kodi)

Pia ziko

Lenovo ThinkPad E73 Core i3

Inter Core i3,4GB,500GB Hdd,Dvd drive,Mouse,Keyboard,18.5Inch monitor

Bei:mad: 950,000/=TZS (Pamoja na kodi)

Computer zote ni BRAND NEW na flat monitor,Zinapatikana Arusha.Call: 0752489529,bei ni fixed!!
 
Ati 1100000?????
 
Kama inavyosomeka mkuu,au wewe unataka mtumba??
Si unajua siku hizi kila kitu kinachokuja na meli/ndege kodi ya nchi lazima ilipwe kwa ufasaha?
 
Nahitaji tena mwenyewe nazo nitumie specs zake whatsapp chap
 
Back
Top Bottom