Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 988
Wakuu,
Nahitaji desktop CPU na nina 200,000/= tu, mwenye nayo aseme specifications zake hapa na isiwe old model, haihitajiki kwa haraka sana lakini kabla ya tr 5 jan nitakuwa nimeshailipia.
Karibuni.