Nahitaji dada wa kazi kulea mtoto tu!

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,658
3,646
Wakuu,

Naomba mnisaidie kupata dada wa kazi kulea mtoto wa miaka miwili. Sifa awe na uzoefu wa kulea watoto wadogo na upendo na kumjali mtoto saa zote. Mkataba ni mpaka mtoto akifikisha miaka mitano kazi yake inakwisha. Ataishi kwangu na huduma zote za kibinadamu mbali na mshahara nitazigharamia mimi.

Naomba mwenye kumjua dada wa kazi mwenye sifa hizo ani PM.

Asanteni.
 
Tunataka kujua kama una roho mbaya ili tusijekupa wa iringa mtoto akaokwa, ukiwa dar tutaulizia tabia kwa majirani zako, na je mtoto amelelewa vizuri au ni wakimayai mayai amaweza akakutandika na kukimbilia kwa mamayake.
 
Tunataka kujua kama una roho mbaya ili tusijekupa wa iringa mtoto akaokwa, ukiwa dar tutaulizia tabia kwa majirani zaklo, na je mtoto amelelewa vizuri au ni wakimayai mayai amaweza akakutandika na kukimbilia kwa mamayake.
sa mtoto ni wa majirani?
Na mtoto asilelewe kimayai aleleweje kwa ngumi au?
Mtoto anatakiwa alelewe kimayai kwa raha zote
 
sa mtoto ni wa majirani?
Na mtoto asilelewe kimayai aleleweje kwa ngumi au?
Mtoto anatakiwa alelewe kimayai kwa raha zote
wa kimayai atabutuliwa tu hili la majirani wanaweza kumjua mtu mwenye roho katili hii ni kunusuru mtoto asiye na hatia kujeeuhiwa au kufa si unajua watu wa iringa,
 
weka picha yako mkuu tukuchunguze. kama mngoni hatukutafutii ngooo usije tia msichana wa watu mimba.akachinja mtoto buree
 
mkuu we ni mzoefu humu jf...sitegemei eti siku moja uje useme umetapeliwa na mtu aliyekuahidi kukutafutia msichana wa kazi....
kila la heri ila chukua tahadhari
 
Back
Top Bottom