Nahitaji chumba cha kupanga

NIFEDIPINE

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
209
210
HABARI ZENU.
Poleni na majukumu ya kujenga taifa. Mimi ninahitaji chumba cha kupanga maeneo ya Moshi sehemu za majengo,mbuyuni, soweto na sehemu za moshi hapa mjini. Chumba kiwe self contained,kikubwa,kiwe katika nyumba yenye fensi ya kueleweka na geti. nahitaji kupanga hicho chumba kuanzia january.
Mwenye idea ya kuweza kunisaidia kupata hicho chumba kwa lengo la kuanza kupanga mwakani (january) ani pm,kwa sasa niko Moshi ila nimejishkiza kwa msela
mimi niko single,sina familia,nimekuja kuanza maisha Moshi,ajira naanza january.
NB; Nyumba isiwe na wapangaji wengiii mpaka ikawa kero,pawe na usalama wa kulaza gari,pasiwe na biashara kama za kuchomelea vyuma jirani kias cha mtu kushindwa kulala au kukoncentrate,kuwe na utulivu. tuwasiliane kwa namba hii kama kuna mtu yuko tayari kunisaidia kwa hilo 0758 326311
Thank you
 
Back
Top Bottom