saambovu una huo mzigo uniuzie? au na wewe unatafuta
Hiyo Carina Ti ya 6.5M usiiache kwani ni BUN kwa hiyo ni mpya kabisa ikiwa na Comprehensive na Motor vehicleeducator2025 upo sehemu gani kwa hapa dar? ninaihitaji hiyo gari. Japo nina 6m plz
Hilo tangazo lako lanihusu ngoja nisubiri atakae jitokeza
nawe unahitaji pia au?
Ndio nahitaji unayo
nina ndugu yangu yeye anauza hayo magari labda nikuunganishe naye kama unahitaji
carina ti 7.5 million .. ipo darsaambovu una huo mzigo uniuzie? au na wewe unatafuta