Nahitaji binti wa kazi za ndani

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,094
7,218
Salam wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Ninatafuta binti dada wa kazi kwa ajili ya kazi za ndani nyumbani kwangu.
Malipo na malupu lupu (fringe benefits) ni makubaliano kati ya mwajili na mwajiliwa.
Napatikana dar. Kwa aliye tayari tafadhari anaweza ni PM au nitafuta kwa namba 0753 - 230 490.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom