Nahitaji binti aliyemaliza chuo au kidato cha Sita ili anisaidie kumfundisha kijana wangu hapa nyumbani

Kuwa mtu mzima basi,yaani atafute papuchi hapa tena kuna jukwaa husika kabisa kwa mambo hayo,mademu wote mtaani hajawaona?
naona umekuja na ID nyingine
nenda MMU sema nataka papuchi
sio kuitaka kijanja kupitia mgongo wa kuajiri mdada
empty set kabisa
 
Iv umeelewa kweli? Wa kiume atalala wap? Atapaswa alale na watoto wangu wa kiume iv unajua hawamashoga wa ukubwan wamtoka wap?

Huyo wa kike si atalala na dada wa kazi atawaharibuje?

Soma kwanza uelewe kabla ya kukurupuka kucoment
Duh basi wewe huwezi ishi na watu kama ndo hivi
 
Back
Top Bottom