Bima ya Afya Tanzania: Kampuni bora na zenye changamoto katika kuhudumia wateja wake

Pisi Kali mimi ni mwanachama wa NHIF ni moja ya bima za afya Bora kabisa ina coverage ya hospital nyingi nchi nzima tofauti na Bima zingine ....


Hilo suala la kupewa kadi after 3 months siwezijua maana mimi nilichukua kadi miaka hiyo chini ya shirika flani hivi hatukutumia muda huo , ila sijui kwa sasa..

Ila niseme tu Licha ya changamoto zingine ndogondogo NHIF ni bima Bora kwasasa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo gharama ni kila mwaka si ndio?
Mfano ..
Mtu mmoja hicho kiasi kila mwaka ntalipia hvo kwenye kipengele Cha kwanza?(najali Afya)
 
Asante

Nimeona huo mchanganuo

Nataka kujua sio wasumbufu kwenye huduma zao? Nilivyokua chuo nililipiaga mara moja 50,400 ila sikuwahi kutibiwaga nayo (sikuumwa kwa huo muda hadi kadi ikaexpire)

Pia kadi zilikua zinachelewa kutoka unalipa na kufanya maombi leo, utapata mwezi wa nne


Ni kwa wanafunzi tu? Chuo walikua wazito kufatilia? Au ndivyo walivyo? Ukifanya malipo baada ya muda gani unaweza kupata Kadi kwaajili ya huduma?
NHIF ni bima nzuri endapo hutakua na ugonjwa wa kudumu kama kidney failure, cancer, diabetes, etc. Once ukipata hayo maradhi ndo utawatambua vizuri. Kama ni kwenda tu hospitali kumuona daktari kutibu malaria typhoid ipo njema sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NHIF ni bima nzuri endapo hutakua na ugonjwa wa kudumu kama kidney failure, cancer, diabetes, etc. Once ukipata hayo maradhi ndo utawatambua vizuri. Kama ni kwenda tu hospitali kumuona daktari kutibu malaria typhoid ipo njema sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si kweli Nina rafiki yangu baba yake ana kidney failure na anapata huduma zooote kwa Nhif ... Huwa anafanyiwa mabadiliko ya damu mwaka mzima kwa hiyo hiyo kadi mpaka sasa Hali Yake imetengemaa.... Mara ya mwisho kafanyiwa hayo matibabu mwaka Jana mwezi wa 11....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Strategis Insurance
Screenshot_20200116-162241_Chrome.jpg


Medical Insurance Plans ukijaza preference zako utapata QUOTATION ya package inayokuvutia.
 
Back
Top Bottom