Pisi kali
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,215
- 2,418
Kama unacho nenda NHIF kwa muongozo zaidi ila ni bima Bora Licha ya changamoto ndogondogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana mkuu
Kama unacho nenda NHIF kwa muongozo zaidi ila ni bima Bora Licha ya changamoto ndogondogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka Recomend AAR, sababu ndo bima nayotumia muda mrefu, na so far so good, ila kwa rate hizi na yanayosemwa kuwa NHIF wamekuwa bora zaid, nadhani wajaribu, na ulete mrejesho.Chukua NHIF ...
Maelezo na kila kitu ulichouliza yako humu View attachment 1324633
Sent using Jamii Forums mobile app
AAR
Nilitaka Recomend AAR, sababu ndo bima nayotumia muda mrefu, na so far so good, ila kwa rate hizi na yanayosemwa kuwa NHIF wamekuwa bora zaid, nadhani wajaribu, na ulete mrejesho.
Huduma zao poa sana , ila Gharama sina recent update , Wacheck +255 784 107 700 / +255 022 550 8300AAR gharama zao zikoje? Na huduma zao
Mkuu..hizo gharama ni kwa mwaka sio?Chukua NHIF ...
Maelezo na kila kitu ulichouliza yako humu View attachment 1324633
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo gharama ni kila mwaka si ndio?Pisi Kali mimi ni mwanachama wa NHIF ni moja ya bima za afya Bora kabisa ina coverage ya hospital nyingi nchi nzima tofauti na Bima zingine ....
Hilo suala la kupewa kadi after 3 months siwezijua maana mimi nilichukua kadi miaka hiyo chini ya shirika flani hivi hatukutumia muda huo , ila sijui kwa sasa..
Ila niseme tu Licha ya changamoto zingine ndogondogo NHIF ni bima Bora kwasasa...
Sent using Jamii Forums mobile app
NHIF ni bima nzuri endapo hutakua na ugonjwa wa kudumu kama kidney failure, cancer, diabetes, etc. Once ukipata hayo maradhi ndo utawatambua vizuri. Kama ni kwenda tu hospitali kumuona daktari kutibu malaria typhoid ipo njema sana.Asante
Nimeona huo mchanganuo
Nataka kujua sio wasumbufu kwenye huduma zao? Nilivyokua chuo nililipiaga mara moja 50,400 ila sikuwahi kutibiwaga nayo (sikuumwa kwa huo muda hadi kadi ikaexpire)
Pia kadi zilikua zinachelewa kutoka unalipa na kufanya maombi leo, utapata mwezi wa nne
Ni kwa wanafunzi tu? Chuo walikua wazito kufatilia? Au ndivyo walivyo? Ukifanya malipo baada ya muda gani unaweza kupata Kadi kwaajili ya huduma?
Yeah ni mwakahizo gharama ni kila mwaka si ndio?
Mfano ..
Mtu mmoja hicho kiasi kila mwaka ntalipia hvo kwenye kipengele Cha kwanza?(najali Afya)
Ok mkuu, unaweza kuweka packages za AAR ,AAR
Nilitaka Recomend AAR, sababu ndo bima nayotumia muda mrefu, na so far so good, ila kwa rate hizi na yanayosemwa kuwa NHIF wamekuwa bora zaid, nadhani wajaribu, na ulete mrejesho.
Hiyo ya Tanzania tu ni how much?AAR wana huduma aina 3 kuna gold hii unatibiwa popote duniani,kuna silver unatibiwa afrika mashariki na bronze unatibiwa tz tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si kweli Nina rafiki yangu baba yake ana kidney failure na anapata huduma zooote kwa Nhif ... Huwa anafanyiwa mabadiliko ya damu mwaka mzima kwa hiyo hiyo kadi mpaka sasa Hali Yake imetengemaa.... Mara ya mwisho kafanyiwa hayo matibabu mwaka Jana mwezi wa 11....NHIF ni bima nzuri endapo hutakua na ugonjwa wa kudumu kama kidney failure, cancer, diabetes, etc. Once ukipata hayo maradhi ndo utawatambua vizuri. Kama ni kwenda tu hospitali kumuona daktari kutibu malaria typhoid ipo njema sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si kweli Nina rafiki yangu baba yake ana kidney failure na anapata huduma zooote kwa Nhif ... Huwa anafanyiwa mabadiriko ya damu mwaka mzima kwa hiyo hiyo kadi mpaka Sasa Hali Yake imetengemaa .... Mara ya mwisho kafanyiwa hayo matibabu mwaka Jana mwezi wa 11....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano niliotoa ni mwaka Jana mwezi wa 11 na hata ukisoma jedwali la vifurushi vya Nhif huduma zinatolewa kama kawaida ni wewe kuchagua packages unayoimudu ...
🤣🤣😂😂 Mtoto wa Mshana Jr huyu na nyengine kamezeshwa hapo!Mimi natumia hii bima mkuu, yaani kitu uhakikaView attachment 1324980
Sent using Jamii Forums mobile app