Nahitaji bidhaa zifuatazo,kwa wanaosafiri Dubai au China au Thailand

Swet-R

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
4,074
2,000
Wakuu nahitaji Cover za simu Samsung Galaxy C9 pro pc 3 na A9 pc 3. Zikiwa za kufunua ndio chaguo la kwanza. Lete rangi blue,gold na black.

Nahitaji pia saa kubwa kubwa nzuri. Ziwe na tarehe na saa ya digital hapo hapo mfano wa hii chini
20210429_192420.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom