Nahitaji Bango(Tangazo) la Kitambaa la kubandika barabarani

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Jan 29, 2013
1,287
483
Hallo,

Nahitaji mtu anayetengeneza Matangazo hayo vitambaa vyeupe yanayobandikwa barabarani.

Please kama wewe ni muhisika njoo PM

Unipe na Bei yako na sample ya mojawapo ambalo ulishaandaa.

Nakusubiria.
 
Hallo,

Nahitaji mtu anayetengeneza Matangazo hayo vitambaa vyeupe yanayobandikwa barabarani.

Please kama wewe ni muhisika njoo PM

Unipe na Bei yako na sample ya mojawapo ambalo ulishaandaa.

Nakusubiria.
nendaaaaaa Kimara buchaa ulizaa wanapotengeneza matangazo
 
ni pm, ubungo mataa nyuma ya tanesco kuna jamaa yuko vzr, huwa anachukua tenda mpka za makampuni...

na jamaa mstaarabu sana, hana uswahili swahili, ni-pm nikuunganishe naye
 
Back
Top Bottom