Nahitaji action Movies, Series Kali za Kikorea na za kizungu, Love stories zozote nzuri.

Revola

JF-Expert Member
Apr 14, 2015
1,408
1,157
Wadau nashida na movie sana nimejaribu kuwatafuta hawa jamaa wanaoingiza nyimbo bila mafanikio yani hawapo nowadays nasikia wanasakwa kama watu wa dawa za kulevya wamepotea kabisa kwa sababu wanaiba kazi za wasanii, kwa yeyote mwenye movie anisaidie mpya mpya kadhalika love stories na series mbali mbali
 
Back
Top Bottom