Nahitaj mwekezaji atakayewekeza million 60 kwenye tenda ya ujenzi

Frank mtanganyika

JF-Expert Member
Aug 10, 2018
459
732
Nimepata tenda ya ujenz kuna kampuni ndogo niko nayo nahitaj mwekezaji atakaye wekeza million 60 tu ili tuweze kuanza mradi na pindi tutakapo lipwa advance payment tutarudisha hela yake kwa makubaliano tutakayo kuwa tumewekeana.
 
Wakija hapa watakuambia hizo sentence 3 unataka watu wakuamini??

Niamini mimi watakuja hapa
 
sasa umepataje tenda bila bank statement kukusupport au una connection na mayanga construction.
 
sasa umepataje tenda bila bank statement kukusupport au una connection na mayanga construction
Kuhusu kupata tenda nimekuwa recommended na consultant kwa client na huyo mayanga construction simfaham ndugu kingine kama unaona hii haikuhusu pita hivi si lazm ucomment katika kila threed
 
Back
Top Bottom