Massawe mtata Member Aug 12, 2011 36 13 Jun 12, 2013 #1 Nahitaj macbook white ambayo anayo please waweza nichek 0765746450
mfianchi Platinum Member Jul 1, 2009 11,855 8,251 Jun 12, 2013 #2 Wabongo bwana kaazi kwelikweli Macbook white ndio nini tena,weka specs kaka,pia ni macbook model gani?kwa kiasi gani ulichonacho.
Wabongo bwana kaazi kwelikweli Macbook white ndio nini tena,weka specs kaka,pia ni macbook model gani?kwa kiasi gani ulichonacho.