Nahisi ugonjwa wa moyo unaniwinda baada ya kuachwa na mwanaume aliyenizalisha

Hapana halipi ada ndugu, ghafla tu akanambia naona umri unaenda tuachane Mimi siwezi kukufurahisha katika maisha yako kisa tu nilikuwa nikimtumia hajibu, nikimpigia tunaongea anakata simu ghafla tu bila kuniambia chochote au siku akiamua nikimpigia simu tukiongea kidogo tu ataniambia subiri baada ya dk 5 kuna kazi nafanya akisema hivyo ndo basi imetoka labda umtafute wewe tena, wasap unamuona online ukitumia text hajibu!! Badae alipoanzisha ugomvi wa kuachana akanambia Mimi nina mtoto mwingine na mwanamke yani hadi niliumwa.
pole sana dada lakini tambua kila jambo hutokea kwa sababu,huyo hakuwa wako tulia soma fanya ibada na endelea kumheshimu Mungu hatimaye atapatikana wa kwako....hayo ni madhara ya anguko la mwanadamu pale Eden kaza moyo songa mbele
 
Nimekuwa na mawazo yasiyokoma tangu mwaka Jana 2020, furaha imepotea nimekuwa ni mtu wa kuwaza kukosa amani na huzuni moyoni mwangu. Ninasoma chuo fulani lakini maisha yangu ni stress na kutofurahia maisha.

Chanzo kuna mwanaume alinitolea barua aliahidi kunioa nitakapomaliza chuo lakini nilivyoanza tu chuo akaanza vituko akaniacha. Nimeathiriwa kisaiklojia sana na kuona kila kitu kigumu na siwezi tena. Nipo chuo mwaka wa pili naenda wa tatu lakini nimekata tamaa ya kusoma.

Huyo mwanaume kanizalisha na mimi malengo yangu niliyojipangiaga ni kuwa na familia moja lakini mambo yameenda tofauti.

Roho inaniuma sana, nasoma kwa kujilazimisha tu sasa hivi sina moyo wa kusoma kabisa.
Usijali kaza moyo piga moyo konde, songa mbele soma utengeneze maisha paka agundue alifanya kosa kukuacha, ila ukilegeza ukafail ndiyo kabisa ataona kweli alikuwa sawa kukuacha.
Ila narudia tena na uwa nawambia hata ndugu zangu wa kike, hata mwanaume aonekane anakupenda vipi usikubali kuzaa naye kama hajakuoa. Maana sisi tunabadilika ghafla.
 
Nimekuwa na mawazo yasiyokoma tangu mwaka Jana 2020, furaha imepotea nimekuwa ni mtu wa kuwaza kukosa amani na huzuni moyoni mwangu. Ninasoma chuo fulani lakini maisha yangu ni stress na kutofurahia maisha.

Chanzo kuna mwanaume alinitolea barua aliahidi kunioa nitakapomaliza chuo lakini nilivyoanza tu chuo akaanza vituko akaniacha. Nimeathiriwa kisaiklojia sana na kuona kila kitu kigumu na siwezi tena. Nipo chuo mwaka wa pili naenda wa tatu lakini nimekata tamaa ya kusoma.

Huyo mwanaume kanizalisha na mimi malengo yangu niliyojipangiaga ni kuwa na familia moja lakini mambo yameenda tofauti.

Roho inaniuma sana, nasoma kwa kujilazimisha tu sasa hivi sina moyo wa kusoma kabisa.
Mwanaume siyo baba yako tulia kuzaa siyo kukosa mme ilimradi wewe usiwe chanzo cha kuachwa kwako.
 
Nimekuwa na mawazo yasiyokoma tangu mwaka Jana 2020, furaha imepotea nimekuwa ni mtu wa kuwaza kukosa amani na huzuni moyoni mwangu. Ninasoma chuo fulani lakini maisha yangu ni stress na kutofurahia maisha.

Chanzo kuna mwanaume alinitolea barua aliahidi kunioa nitakapomaliza chuo lakini nilivyoanza tu chuo akaanza vituko akaniacha. Nimeathiriwa kisaiklojia sana na kuona kila kitu kigumu na siwezi tena. Nipo chuo mwaka wa pili naenda wa tatu lakini nimekata tamaa ya kusoma.

Huyo mwanaume kanizalisha na mimi malengo yangu niliyojipangiaga ni kuwa na familia moja lakini mambo yameenda tofauti.

Roho inaniuma sana, nasoma kwa kujilazimisha tu sasa hivi sina moyo wa kusoma kabisa.
Pole kwa mitihani. Nakushauri usife moyo. Jiulize yaliokutokea yameshawakuta wangapi? Jambo la kufanya ni kumrudisha uo mwanaume kwa wema au kwa nguvu. Na yote yanawezekana....
 
Nimekuwa na mawazo yasiyokoma tangu mwaka Jana 2020, furaha imepotea nimekuwa ni mtu wa kuwaza kukosa amani na huzuni moyoni mwangu. Ninasoma chuo fulani lakini maisha yangu ni stress na kutofurahia maisha.

Chanzo kuna mwanaume alinitolea barua aliahidi kunioa nitakapomaliza chuo lakini nilivyoanza tu chuo akaanza vituko akaniacha. Nimeathiriwa kisaiklojia sana na kuona kila kitu kigumu na siwezi tena. Nipo chuo mwaka wa pili naenda wa tatu lakini nimekata tamaa ya kusoma.

Huyo mwanaume kanizalisha na mimi malengo yangu niliyojipangiaga ni kuwa na familia moja lakini mambo yameenda tofauti.

Roho inaniuma sana, nasoma kwa kujilazimisha tu sasa hivi sina moyo wa kusoma kabisa.
usijal upo mkoa gan
 
Rafiki yangu naomba maumivu yako yaelekezee zaidi kwenye masomo yako

Yani usisubutu kuacha chuo hata Kama utapitia wakati mgumu kiasi gani , soma Sana soma kwa uchungu mkubwa ona elimu Kama ndio mkombozi wako Yani acha acha acha kuwaza kuacha chuo

Huyo hutomsahau haraka lakini muda itafika kila kitu kitabaki historia ,kumbuka muda haurudi nyuma Ila ukicheza na elimu sababu ya mapenzi utapata majuto ya milele

Kubali kuumia Sasa ili baadae uishi kwa furaha
 
Nimekuwa na mawazo yasiyokoma tangu mwaka Jana 2020, furaha imepotea nimekuwa ni mtu wa kuwaza kukosa amani na huzuni moyoni mwangu. Ninasoma chuo fulani lakini maisha yangu ni stress na kutofurahia maisha.

Chanzo kuna mwanaume alinitolea barua aliahidi kunioa nitakapomaliza chuo lakini nilivyoanza tu chuo akaanza vituko akaniacha. Nimeathiriwa kisaiklojia sana na kuona kila kitu kigumu na siwezi tena. Nipo chuo mwaka wa pili naenda wa tatu lakini nimekata tamaa ya kusoma.

Huyo mwanaume kanizalisha na mimi malengo yangu niliyojipangiaga ni kuwa na familia moja lakini mambo yameenda tofauti.

Roho inaniuma sana, nasoma kwa kujilazimisha tu sasa hivi sina moyo wa kusoma kabisa.
Pole sana dada,
Usikate tamaa maisha hayana formula..jitahidi kusoma ipo siku utakutana na Mr Right tena na utakuwa na furaha👏🏻
 
Kabisa wengi tu kipindi hicho niliwakataa, ye kipindi yupo chuo lakini mwezangu huko chuo alikuwa akinicheat muda mwingine alifika direct kuniambia amenicheat anaomba msamaha lakini nilimvumilia chanzo cha uvumilivu niliona tu mapenzi yetu yamefahamika karibia na watu wote ndugu jamaa na marafiki sikutaka kuleta picha mbaya kwa wazazi na ndugu wengine yaani wasione Leo nipo na huyu kesho na huyu nilikuwa natengeneza heshima nyumbani japo wao hawakufahamu mambo gani napitia.

Mwanamke mwenzangu shukuru mungu amekuondolea hilo zigo la misumari. Maana Inaonesha hata angekuoa ndoa ingekua ya mateso sana.
Fikiria angekuacha ukiwa na watoto wa tatu na ndoa juu.Bora hili limetokea mapema umia tu kwa sasa maana ni haki yako ila umia huku ukimshukuru mungu na kumuomba akupe kilicho bora kabisa.

NB: Usitake kuanzisha mahusiano haraka haraka kisa tu unataka ndoa na kuwaridhisha wanaokuzunguka.Chukua muda yamezee tu maneno ya watu kusemwa ni kawaida litapita tu hili.
 
Ngoja nikupe namba ya simu ya mama watoto, akikubali tu uwe mke mwenzake, ujue umeula.
 
Back
Top Bottom