Nahisi ugonjwa wa moyo unaniwinda baada ya kuachwa na mwanaume aliyenizalisha

Nimekuwa na mawazo yasiyokoma tangu mwaka Jana 2020, furaha imepotea nimekuwa ni mtu wa kuwaza kukosa amani na huzuni moyoni mwangu. Ninasoma chuo fulani lakini maisha yangu ni stress na kutofurahia maisha.

Chanzo kuna mwanaume alinitolea barua aliahidi kunioa nitakapomaliza chuo lakini nilivyoanza tu chuo akaanza vituko akaniacha. Nimeathiriwa kisaiklojia sana na kuona kila kitu kigumu na siwezi tena. Nipo chuo mwaka wa pili naenda wa tatu lakini nimekata tamaa ya kusoma.

Huyo mwanaume kanizalisha na mimi malengo yangu niliyojipangiaga ni kuwa na familia moja lakini mambo yameenda tofauti.

Roho inaniuma sana, nasoma kwa kujilazimisha tu sasa hivi sina moyo wa kusoma kabisa.

Hope huyo mwanaume hukuchaguliwa, ulimchagua mwenyewe na ulimpenda sana.

Kama jibu ni ndio, then count your blessing and move on.

Hukuzaliwa naye huo na mtoto ni baraka, maisha lazima yaendelee.
 
Haina Hayo kubamban ya nayakale
Au kuyabadl ya kale yakaw mapya
Nafas uliyonayo niutok ulipo na kuw mtu mwingine Sasa kutokan na changamoto ulizojifunza.

Dada kusoma Muhm zngatia masomo la sivyo utafel kote.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hapana halipi ada ndugu, ghafla tu akanambia naona umri unaenda tuachane Mimi siwezi kukufurahisha katika maisha yako kisa tu nilikuwa nikimtumia hajibu, nikimpigia tunaongea anakata simu ghafla tu bila kuniambia chochote au siku akiamua nikimpigia simu tukiongea kidogo tu ataniambia subiri baada ya dk 5 kuna kazi nafanya akisema hivyo ndo basi imetoka labda umtafute wewe tena, wasap unamuona online ukitumia text hajibu!! Badae alipoanzisha ugomvi wa kuachana akanambia Mimi nina mtoto mwingine na mwanamke yani hadi niliumwa.
Hapo Ulishaachwa siku nyingi sema ulichelewa tu kugundua.....

Komaa na shule
 
Sasa wewe badala ya ukomae na shule angalau upate cheti unaendekeza mawazo ya uliyopanga kuwa na familia moja, utashangaa unaishia kuwa na familia tatu bila hata cheti. Maisha hayana huruma ni kupambana kila wakati.
Naam dunia Haina huruma namtu ... Ukitoka nje ya kanuni zake inakuchapa tu mpaka ukome
 
Hadi nilipofikia nimekomaa sana kaka ila tu hii roho ya mawazo inanisumbua sana mwili mzito akili nzito kila kitu!! Kwani nilipoanza tu chuo walinivuruga akili nimekaa mwaka ndipo nikapona lakini huku akili haiko sawa huku nasoma fikilia maumiv ya kuachwa + kuchanganywa akili
Pole sana .. mapenzi na masomo hawajahi kukaa pamoja na wakaelewana hata siku 1
 
Hapana halipi ada ndugu, ghafla tu akanambia naona umri unaenda tuachane Mimi siwezi kukufurahisha katika maisha yako kisa tu nilikuwa nikimtumia hajibu, nikimpigia tunaongea anakata simu ghafla tu bila kuniambia chochote au siku akiamua nikimpigia simu tukiongea kidogo tu ataniambia subiri baada ya dk 5 kuna kazi nafanya akisema hivyo ndo basi imetoka labda umtafute wewe tena, wasap unamuona online ukitumia text hajibu!! Badae alipoanzisha ugomvi wa kuachana akanambia Mimi nina mtoto mwingine na mwanamke yani hadi niliumwa.
Daahh nachukia Sana watu wanaopenda kuumiza wenzao hisia zao na kuwaharibia ndoto zao ... Huu Ni unyama mkubwa Sana

But are you sure hakuna mahali ulipowahi kumkosea "!? Je una mapungufu ya nayo vumilika au nawewe ndio wale wale madrama queen
 
Haziwezi kukoma kaka, nina maumivu makali sana maana niliacha kikazi changu cha cert kwaajili yake ili niongeze elimu maana yeye alikuw elimu ya juu mi nikaonekana sina elimu. Watu wakawa wananitamkia live muda mwingine kuwa sina elimu huyo mwanaume wangu ataoa mwanamke msomi mwezie. Nilikuwa naumia sana na kujiona sina thamani katika maisha na sifai kabisa kuwa na huyo mwanaume ambaye alikuwa ni mpenzi wangu.
Anza Sasa kuishi Maisha yako .. jione kwamba wewe Ni wathamani na Huyo aliyekuumiza hakupaswa kuwa na wewe kwa sababu hastahiki kumiliki kitu chenye thamani wakati hajui umuhimu was hicho kitu ... Epukana nae kuanzia Sasa epuka kumfanya yeye kuwa ndiye furaha ya Maisha yako .. tafuta namna nyingine ya kuanza kuishi Maisha bila yeye Dunia bado inakupenda trust me itakulipa kilicho Bora Zaidi ya hicho ulichopoteza Kuna Wakati binaadamu lazima tukutwe na matukio fulani hasi ili tuweze kujitambua zaidi na jitambua ukuu wetu tulionao ndani yetu

Live your life
 
Yani naonaga kanitilia doa katika maisha yangu naona sitaolewa na mwanaume sahihi.Nitamkubali yeyote ili tu nami niwe na Mme kwasababu wengi wanafika lakini nikiwaambia tu nina mtoto wanapotea hawanitaki tena.
hapa usipotuliza kichwa utakuja kumuumiza sana atakaye kupenda maana atakuwa yeyote
 
Haziwezi kukoma kaka, nina maumivu makali sana maana niliacha kikazi changu cha cert kwaajili yake ili niongeze elimu maana yeye alikuw elimu ya juu mi nikaonekana sina elimu. Watu wakawa wananitamkia live muda mwingine kuwa sina elimu huyo mwanaume wangu ataoa mwanamke msomi mwezie. Nilikuwa naumia sana na kujiona sina thamani katika maisha na sifai kabisa kuwa na huyo mwanaume ambaye alikuwa ni mpenzi wangu.
Take it
Her%20g%C3%BCn%201%20Yeni%20Bilgi%20on%20Twitter.jpg
 
Badala ya kupata hasiraa usomee mwanao asijekutesekaa na maisha haya, unakaa unamuwazaa Malayaa mmoja ambae ukutee hata hakumbuki kama ashawahi kuwa na mtu kama wewe.. The beat revenge is success amini kwamba dada anguu kaa mahalii liaa sanaa jutaa sanaa yaani hata pombe kunywa alafu amka siku Jikung'ute uanzee upyaaa yani upyaaa kweli na namba ya simu badilisha kama una mapicha ya jamaa chomaa any memory yako na yeye tupilia mbali. Alafu anze kusoma ukifanikiwa rudi kazini kwako hapo mshahara utapanda utaheshimiwa na waliokuwa wanakudharau alafu ajabu huyo mwanaume anaweza kuja na Magotiii akiomba msamaha.

Pigana ufanikiwee inatosha kuwa revenge kabisa.
 
Yani naonaga kanitilia doa katika maisha yangu naona sitaolewa na mwanaume sahihi.Nitamkubali yeyote ili tu nami niwe na Mme kwasababu wengi wanafika lakini nikiwaambia tu nina mtoto wanapotea hawanitaki tena.
Acha kujishusha thamani .. na katika kipindi hiki epuka kujiingiza katika mahusiano kwa sababu wanaume watakao kuwa Wana kufuata wata taka kutake advantage kutokana na Yale unayo yapita... Ukiwa dhaifu na ukashindwa kuitambua thamani yako ..watakutafuna kweli kweli na wataishia kukukimbia mwisho wa siku utaanza kujiona sio kitu Ni sawa na mtu bure ..... Kaa chini Fikiria ulipo kosea Kisha Anza hatua za kusahihisha mahala ulipokosea kisha simama Tena imara zipiganie ndoto zako kwa Hali na Mali ..... Usiogope kuchekwa usiwape watu masikio yako ili kutaka kujua wanaongelea Nini kuhusu wewe " ishi Maisha yako huku ukijua kule ambapo unataka kwenda .. katika hii dunia hakuna ambaye hajaachwa hayo Ni mapito tu ukijikubali na kupigania malengo yako itafika wakati utasahau kila kitu ..kila kitu kitapita na itabaki kuwa history Kama jinsi Tanzania ilivyo tawaliwa na wakoloni ...... Pigania malengo yako the best is yet to come
 
Nimekuwa na mawazo yasiyokoma tangu mwaka Jana 2020, furaha imepotea nimekuwa ni mtu wa kuwaza kukosa amani na huzuni moyoni mwangu. Ninasoma chuo fulani lakini maisha yangu ni stress na kutofurahia maisha.

Chanzo kuna mwanaume alinitolea barua aliahidi kunioa nitakapomaliza chuo lakini nilivyoanza tu chuo akaanza vituko akaniacha. Nimeathiriwa kisaiklojia sana na kuona kila kitu kigumu na siwezi tena. Nipo chuo mwaka wa pili naenda wa tatu lakini nimekata tamaa ya kusoma.

Huyo mwanaume kanizalisha na mimi malengo yangu niliyojipangiaga ni kuwa na familia moja lakini mambo yameenda tofauti.

Roho inaniuma sana, nasoma kwa kujilazimisha tu sasa hivi sina moyo wa kusoma kabisa.
Pole sana sana.

Nimewahi kuipitia hali inayokaribiana na yako, ila kama yupo Mfariji Mkuu duniani ni YESU pekee. Amini usiamini, nilipitia ila nilitoka salama.

Fanya ibada na muamini yeye pekeee, alafu kitu kingine cha pili, futa kila litakalo kukumbusha kuhusu yeye kama picha n.k na mwisho usiingie kwenye mahusano yoyote angalau mwaka mzima. Jipe utulivu wa ndani wa kutosha, na utakapo taka kuingia kwa mahusano, mshirikishe Mungu na ujifunze kujizuia, si kumpa kila kitu asiyemume wako ndicho madhara yake wavuna sasa.
 
There's only one thing here, move on.
Yes, move on. Forget about him. But would you move on!

Let us assume YOUR BABY DAD IS DEAD.
Ndio, we fanya jamaa amekufa. Hivi angekufa we ungefanya nini? Amekuzalisha na ungekuwa singo maza tu vile vile.

So assume jamaa yako kafa. Anza maisha mapya. Simple.
 
Back
Top Bottom