Nahisi nitafunguliwa mashitaka hivi karibuni ya kuwa na mali nyingi

mahwelu

JF-Expert Member
Jun 8, 2013
322
252
Wakuu hali zenu,
Nimepatwa na wasiwasi sana kwani nami ni mtumishi wa umma. Hata hivyo nimeanza kufuatiliwa sana kwamba kipato changu hakifanani na mali nilizonazo. Najua mali zangu ni halali shida je nitawafanyaje waelewe?

Mahwelu
 
Kama unajua ni halali, you only need to explain, na wataelewa, hakuna kukomoana wala!
 
Acha kuogopa binadam mwenzako kama Mali ni zako hofu inatoka wapi? Au ulizipata kwa ukanjanja?
 
Wakuu hali zenu,
Nimepatwa na wasiwasi sana kwani nami ni mtumishi wa umma. Hata hivyo nimeanza kufuatiliwa sana kwamba kipato changu hakifanani na mali nilizonazo. Najua mali zangu ni halali shida je nitawafanyaje waelewe?

Mahwelu
Kwenye declaration form usisite kuziweka zote
 
Mali halali halafu unaogopa. Huna haja ya kuogopa kama una kila taarifa muhimu za upatikanaji wa hizo Mali.
 
Hizi kesi mzee wa vijisent,Nimrodi na Ngereja wakipandishwa kizimbani ntajua wapo serious na hawaonei mtu
 
Wakuu hali zenu,
Nimepatwa na wasiwasi sana kwani nami ni mtumishi wa umma. Hata hivyo nimeanza kufuatiliwa sana kwamba kipato changu hakifanani na mali nilizonazo. Najua mali zangu ni halali shida je nitawafanyaje waelewe?

Mahwelu
Onesha vielelezo ulipataje hizo mali.
 
Wakuu hali zenu,
Nimepatwa na wasiwasi sana kwani nami ni mtumishi wa umma. Hata hivyo nimeanza kufuatiliwa sana kwamba kipato changu hakifanani na mali nilizonazo. Najua mali zangu ni halali shida je nitawafanyaje waelewe?

Mahwelu
Hufunguliwi mashitaka kwakuwa una mali nyingi bali unafunguliwa mashitaka ikiwa hutaweza kueleza mali hizo umezipata vipi na kwa vyanzo halali ikiwemo mshahara wako au mkopo...
Kama utashindwa kuthibitisha jinsi ulivyo pata mali zako basi utashitakiwa kwa kujipatia mali kwa njia zisizo halali....
Haiwezekani una mali halafu ushindwe kusema kuwa mimi hiii nilinunua kwa mshahara wangu,hii nilichukua mkopo nikafanya hiki nikapata faida nikafanya hiki.....
 
Mali kuwa halili sio tatizo ndugu tatizo ni uhalali wa kipato chako kinakuwezesha kuwa na mali hizo kama ndio ujitafakari kama sivyo tafuta wakili mzuri ujipange tu kuishi maisha ya jela maana uhujumu uchumi utakuhusu anza kuwasaidia ndugu zako wa karibu yaani wa mama mmoja kama mitaji ya biashara na mambo mengine ili walipe fadhili kwa watoto wako mambo yakiwa magumu
 
Mali gani kwanza zitaje zisiwe tecno fantom mbili na magrupu nane ya whatsap
 
unaweza ukakuta mali zenyewe anazoongelea ni ng'ombe na mbuzi. Maana wasukuma hata uwe na maghorofa 100 kama huna ng'ombe unaitwa masikini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom