Uza mali zote, mfuate MunguWakuu hali zenu,
Nimepatwa na wasiwasi sana kwani nami ni mtumishi wa umma. Hata hivyo nimeanza kufuatiliwa sana kwamba kipato changu hakifanani na mali nilizonazo. Najua mali zangu ni halali shida je nitawafanyaje waelewe?
Mahwelu
Mali hizi tutaziacha duniani. Kula kwanza bata ila bakiza fedha kwa ajili ya kujidhamini mahakamani.Zigawe mali zako kwa masikini na uokoke, hapo utawakwepa takukuru
Wakuu hali zenu,
Nimepatwa na wasiwasi sana kwani nami ni mtumishi wa umma. Hata hivyo nimeanza kufuatiliwa sana kwamba kipato changu hakifanani na mali nilizonazo. Najua mali zangu ni halali shida je nitawafanyaje waelewe?
Mahwelu
Kwenye declaration form usisite kuziweka zoteWakuu hali zenu,
Nimepatwa na wasiwasi sana kwani nami ni mtumishi wa umma. Hata hivyo nimeanza kufuatiliwa sana kwamba kipato changu hakifanani na mali nilizonazo. Najua mali zangu ni halali shida je nitawafanyaje waelewe?
Mahwelu
===Uza mali zote, mfuate Mungu
Onesha vielelezo ulipataje hizo mali.Wakuu hali zenu,
Nimepatwa na wasiwasi sana kwani nami ni mtumishi wa umma. Hata hivyo nimeanza kufuatiliwa sana kwamba kipato changu hakifanani na mali nilizonazo. Najua mali zangu ni halali shida je nitawafanyaje waelewe?
Mahwelu
Hufunguliwi mashitaka kwakuwa una mali nyingi bali unafunguliwa mashitaka ikiwa hutaweza kueleza mali hizo umezipata vipi na kwa vyanzo halali ikiwemo mshahara wako au mkopo...Wakuu hali zenu,