Nahisi nina vidonda vya tumbo kwa kuichukia sisiem na serikali eee Mungu nisaidie!

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Jamani,

Sijui kama na wenzangu huwa inawatokea, mwenzenu huwa inafika mahali tumbo linaniuma kwa kufikiria namna nchi hii inavyoongozwa na kikwete na serikali yake ya sisiem kama gari bovu. Wakati mwingine huwa naona ni bora uwe kama mhadzabe anayeishi porini na asiye na habari na mambo ya siasa na uchumi. Anaweza kuwa na amani kuliko mimi.
 
Mimi huwa napata amani pale ninapogunduwa kwamba ingawa wanatutawala kimabavu lakini hakuna hata mgombea mmoja wa CCM aliyewahi kupata kura yangu kuanzia 2005 na 2010. kwahiyo mimi si sehemu ya walioshiriki kuiletea nchi hii janga la Kitaifa.
 
Back
Top Bottom