Nahisi Nina maralia.

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Habari zenu ndg.

Nipo tu hapa nimelala nahisi nina maralia. Maana kichwa miguu na hata uchovu ni wa dalili za maralia.

Niwatakie tu usiku mwema.
 
Habari zenu ndg.

Nipo tu hapa nimelala nahisi nina maralia. Maana kichwa miguu na hata uchovu ni wa dalili za maralia.

Niwatakie tu usiku mwema.
wewe ni Ke au Me angalie unachokihis siyo kitokanacho na Mbu K Mobeto
 
Habari zenu ndg.

Nipo tu hapa nimelala nahisi nina maralia. Maana kichwa miguu na hata uchovu ni wa dalili za maralia.

Niwatakie tu usiku mwema.
Ningeshangaa sana kama ungekuwa siyo mgonjwa.Kuna vyumba pale "Milembe hotels" Dodoma,wahi.Usimamishe mishipa kuishabikia sisyemu na dhambi zake zote malaria ikuache?
 
if you are girl go clinic quickly maybe you have pregnant but if you are man just wake up dude
 
Pole sana, ila kama ulipiga vyombooo sana inaweza kuwa sababu, nenda hospital ukapime ujue mbichi na mbivu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom