tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,198
Hakuna kitu HIV carrier ,ukipima kwa rapid test SD-BIOLINE majibu ya Kipimo husomeka reactive (being infected )ambapo utasomewa kua Ni HIV positive Au (Non-reactive )being free from HIV Ambapo majibu yako ni HIV Negative...Jamani wadau naomba kuuliza hiv HIV carrier huwa akipima anaonekana kama ana virusi ktk vipimo hivi vya kawaida
Soma natural history of HIV Ujielimishe kuhusu haya mambo!