Nahisi nimelishwa sumu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,457
154,323
Wana MMU wenangu, siko salama. Friday kuna alinipigia simu akasema mke wake anaweweseka usiku akitaja Bujibuji. Na kwa ukali akaniambia atanimaliza. Leo niko kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama, nimepewa chakula kinanuka theodan, tunaolima pamba tunaijua.
Mkiona kimya kikuu zaidi ya mwezi, jueni yamenikuta
 
Umepewa chakula hotelini au nyumbani kwa mume mwenza.
Theodan ni dawa ya minyoo ukimix na valuer.
OTIS.
 
Wana MMU wenangu, siko salama. Friday kuna alinipigia simu akasema mke wake anaweweseka usiku akitaja Bujibuji. Na kwa ukali akaniambia atanimaliza. Leo niko kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama, nimepewa chakula kinanuka theodan, tunaolima pamba tunaijua.
Mkiona kimya kikuu zaidi ya mwezi, jueni yamenikuta

leo kulikuwa na nini kwenye hivyo viwanja maana nimeona mabango kibao..
 
Wana MMU wenangu, siko salama. Friday kuna alinipigia simu akasema mke wake anaweweseka usiku akitaja Bujibuji. Na kwa ukali akaniambia atanimaliza. Leo niko kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama, nimepewa chakula kinanuka theodan, tunaolima pamba tunaijua.
Mkiona kimya kikuu zaidi ya mwezi, jueni yamenikuta

Achana na wake za watu utauawa, teh teh!
 
Tamasha la nyama choma halafu kwenye mgao wako harufu ya thiodan!!!!!! huyo jamaa mnafahamiana na kama umemuibia utajiju, kumbuka kutubu dhambi zako au achana naye na mrudie muumba wako na roho yako itatakata pia.
Alternatively, kama unajua si mwizi wake, mkemee kwa jina la YESU alegee kabisa hata ashindwe kumkamata mwizi wake
 
Pole sana Bujibuji ila kama ni kweli waiba mke wa mtu acha mara moja. Fikiria ukiibiwa wa kwako (mkeo) utajisikiaje?
 
Wana MMU wenangu, siko salama. Friday kuna alinipigia simu akasema mke wake anaweweseka usiku akitaja Bujibuji. Na kwa ukali akaniambia atanimaliza. Leo niko kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama, nimepewa chakula kinanuka theodan, tunaolima pamba tunaijua.
Mkiona kimya kikuu zaidi ya mwezi, jueni yamenikuta

R.I.P bujibuji ......JF 2likupenda sana ila ww ukampenda mke wam2 zaidi.
 
nawatafuta sana watu kama ninyi ningekuwepo ningekuongezea DDT nadhani hata kuwaaga wana jf usingeweza. Wangekuja kukuaga
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom