Nahisi ni huu ugonjwa, Sihitaji kupima najua ni wengi tuliokuwa na hali ya hofu kama mimi kipindi hiki

Kipenseli

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
800
1,050
Habari zenu Wana JF? I wish mnaendelea vizuri na funga katika mwezi huu mtukufu...

Member Mwenzenu siko poa nina maumivu ya kichwa almost wiki ya pili sasa nilipima niliambiwa nina malaria dozi nilimaliza na bado nina hilo tatizo

Pili Mafua yanayobana sana majira ya usiku kiasi kwamba nashindwa kupumua kwa raha....Na baadhi ya dalili kama koo kuwasha na kikohozi

Lakini hofu yanguni huenda ukawa huu ugonjwa ila najiuliza ni wapi nimepata mbona ni mtu wa kufata zile measures zote.....

All In All dua zenu wenu wadau najua wengine mnapitia hali kama yangu
 
Pole mkuu Mimi nilipitia dalili ya mafua pekee nadhani na nimepona niko fiti kinga ya mwili ina umuhimu mkubwa sana utapona kunya maji sana kula matunda, fanya mazoezi

Corona inapenda sana ikute tatizo mwilini, ila kama uko fit inakuja na kuondoka yenyewe ndio maana ukifatilia wanaokufa either wana HIV, TB, BP, Kisukari, Pumu, au uzee kinga ishakufa

Ndio maana nashangaa serikali imeshindwa kuwalinda kabisa wazee. Mimi nimekuja kwa wazee wiki ya 2 sasa nahakikisha kila wanachokitaka nawatafutia

pension zao wanazo, kama ni biashara watasimamia ugonjwa ukitulia na kuwa wa kawaida

Watulie ndani bora hata nife mimi ila wao wasizikwe kizembe vile naona.
 
Hali kama hiyo ilinifanya nisisafir kwenda kuwasalimia wazazi nimepiga sana mazoezi na kula sana matunda kichwa kilipoa ila naona kimeanza tena kuna times kinauma ila kifua sina wala kikohozi sina ila nasemaje hii corona itamaliza raia tujilinge.

Mkuu hiyo ndio dalili za korona bila ubish na watu wengi dar wanaumwa hiyo kitu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari zenu Wana JF? I wish mnaendelea vizuri na funga katika mwezi huu mtukufu...

Member Mwenzenu siko poa nina maumivu ya kichwa almost wiki ya pili sasa nilipima niliambiwa nina malaria dozi nilimaliza na bado nina hilo tatizo

Pili Mafua yanayobana sana majira ya usiku kiasi kwamba nashindwa kupumua kwa raha....Na baadhi ya dalili kama koo kuwasha na kikohozi

Lakini hofu yanguni huenda ukawa huu ugonjwa ila najiuliza ni wapi nimepata mbona ni mtu wa kufata zile measures zote.....

All In All dua zenu wenu wadau najua wengine mnapitia hali kama yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa ushauri tu hapo najua nitaingiliana na imani yako, Acha kufunga , badala yake jikite zaidi kwenye kuimarisha kinga mwli kwa kula vyakula vyenye vitamin c, and the like , korona ni highly contagious usishangae umeipata wapi, inawezekana ulikosea kidogo tu, ndo mana wanashauri stay home kama huna kazi mjini

Kufunga ramadhan huku ukiwa na maambukizi kama hayo ni risk kutaufanya mwili uwe dhaifu sana kupambana na virus,
Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Habari zenu Wana JF? I wish mnaendelea vizuri na funga katika mwezi huu mtukufu...

Member Mwenzenu siko poa nina maumivu ya kichwa almost wiki ya pili sasa nilipima niliambiwa nina malaria dozi nilimaliza na bado nina hilo tatizo

Pili Mafua yanayobana sana majira ya usiku kiasi kwamba nashindwa kupumua kwa raha....Na baadhi ya dalili kama koo kuwasha na kikohozi

Lakini hofu yanguni huenda ukawa huu ugonjwa ila najiuliza ni wapi nimepata mbona ni mtu wa kufata zile measures zote.....

All In All dua zenu wenu wadau najua wengine mnapitia hali kama yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mnene?
 
Mkuu binafsi wiki iliyopita nahisi na Mimi yalinikuta ila nikajiaminisha ni homa tu, cha kufanya kanunue vidonge vya "AZUMA" kwajili ya koo na kupumua alafu gonga panadol ya maumivu, malizia na pipi ya viks Kingo....siku 2 tu kitu kikaahirisha mechi
 
Pole mkuu Mimi nilipitia dalili ya mafua pekee nadhani na nimepona niko fiti kinga ya mwili ina umuhimu mkubwa sana utapona kunya maji sana kula matunda, fanya mazoezi

Corona inapenda sana ikute tatizo mwilini, ila kama uko fit inakuja na kuondoka yenyewe ndio maana ukifatilia wanaokufa either wana HIV, TB, BP, Kisukari, Pumu, au uzee kinga ishakufa

Ndio maana nashangaa serikali imeshindwa kuwalinda kabisa wazee. Mimi nimekuja kwa wazee wiki ya 2 sasa nahakikisha kila wanachokitaka nawatafutia

pension zao wanazo, kama ni biashara watasimamia ugonjwa ukitulia na kuwa wa kawaida

Watulie ndani bora hata nife mimi ila wao wasizikwe kizembe vile naona.
Na wewe Sasa utulie nyumbani,maana atakaye waletea huo ugonjwa wazee ni wewe
 
Natafuta dawa ya Hilo tatzo Mana Koo linasumbua Kama nimekabwa na tai
Sana huku mitaani wengi wanaumwa kikohozi ila sijaona mtu aliyezidiwa. Ni kama kikohozi cha kawaida..
Binafsi nilikua na muwasho koooni na kichwa kuuma ila nilipona. Japo nasikia kwa mbali kama kitu kimekwamwa kooni

mchawi ni binadamu ,paka ni kijakazi
 
mazoezi yanasaidia pakubwa..

maana hata harufu sipati...hata ya moshi wa bangi haisikiki
 
Pole mkuu Mimi nilipitia dalili ya mafua pekee nadhani na nimepona niko fiti kinga ya mwili ina umuhimu mkubwa sana utapona kunya maji sana kula matunda, fanya mazoezi

Corona inapenda sana ikute tatizo mwilini, ila kama uko fit inakuja na kuondoka yenyewe ndio maana ukifatilia wanaokufa either wana HIV, TB, BP, Kisukari, Pumu, au uzee kinga ishakufa

Ndio maana nashangaa serikali imeshindwa kuwalinda kabisa wazee. Mimi nimekuja kwa wazee wiki ya 2 sasa nahakikisha kila wanachokitaka nawatafutia

pension zao wanazo, kama ni biashara watasimamia ugonjwa ukitulia na kuwa wa kawaida

Watulie ndani bora hata nife mimi ila wao wasizikwe kizembe vile naona.
Itoshe tu kusema kuwa wewe ni mwamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Kiongozi.

Ondoa hofu.

Wewe gonjwa hili la mlipuko hauko nalo.

Wasi wasi wako tu
 
Back
Top Bottom