Habarini wakuu!
Wakuu naombeni ushauri wenu juu ya hili linalonikuta ndugu yenu. Najua kutakuwa na kejeli na dhihaka lakini yote nitashukuru. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 ambae nimefunga ndoa na ndoa ndiyo kwanza ina miezi sita.
Tatizo langu liko kwenye upande wa nguvu za kiume. Nashindwa kabisa kumridhisha mwenzangu sababu ni kwamba siwezi kurudia tendo kwa mara ya pili na hata hicho kimoja yaani ni haraka kama kuku hata dakika tatu haziishi.
Nimejaribu dawa mbalimbali pasipo mafanikio yoyote. Najua kabisa namtesa mke wangu lakini nimeshindwa namna.
Nimekuja kwenu wanajamvi mpate kunishauri by the way mazoezi na vyakula nazingatia sana mimi sio mtu wa kunywa pombe wala vinywaji kama soda na juice za viwandani sio mpenzi.
MAONI YA WADAU
------
-------

keypass, Basi kwa hapo jaribu kutumia natural remedies kama tangawizi na asali mkuu. Kunywa maji mengi pia kula ndizi mbivu kwa wingi naimani utaimarika within no time. Huenda mwili wako umenyonya mafuta sana na wengi tunatumia mafuta yasio salama. Tangawizi tafuna kila siku pia kunywa na maji ya kutosha. Itakusaidia sana
------
Uliwazalo mara nyingi ndilo likutokealo ila midhali umeamini kama huo ndo uwezo wako basi ndo utaishia hapo. Ikate hiyo hali kwa njia yeyote ile iwe ni matibabu ya hospital , ya kiroho au ya kiswahili ila narudia ikemee sana.
Tendo ni hisia na mara nyingi hsia zikiwa juu kunakuwa na mhemko ndani yake ambao huwa unachochea hisia za mwili kufanyakazi kwa kasi na ikishamaliza kazi yake inakwisha kabisa hamu ya tendo kwa mara nyengine, ndo pale unaposema kama huna hamu ya tendo kwa mara ya pili
Kimaumbile wanadamu tumetofautiana kutokana na koo, asili malezi na kadhalika, ila haiwi ni changamoto sana pale unapokutana na shida kama hii, muda mwengine mpangilio wako wa chakula ndo unafanya hormones zishindwe kuchochea mwili ipasavyo na hiyo hali ndo inapokujia
Nakushauri tumia dawa za akiasili kwani hazina madhara hata kidogo, nami nakushauri nenda maduka ya dawa za asili na mwambie nataka SUFA au SEFIO ya unga kisha uwe unakunywa kwenye maziwa ya vuguvugu au chai kwa muda wa mwezi utaanza kuona matokeo yake. Ni nzuri sana hii dawa naomba usiidharau kisha utakuja kutupa marejesho hapa.
Na kama utapata mafuta ya Habbat Soda pia uwe unakunywa asubuhi kabla hujala kitu na usiku ukishakunywa basi usile tena ndani ya week mbili utaanza kuona mabadiliko kaka.
-------
Ok sawa ila daktari wa huo mtanange ni mkeo, mkeo anaweza kukutibu haraka sana. mkeo wakati wa mnyukano ile umeingiza usianze kusugua itulize kama dakika mbili ndani.
Hii itakupa kuzoea joto na ile hali ya kuwa ndani huku ukivuta pumzi na kujicontrol then anza in out zako mdogo mdogo, ukiona wazungu wanataka kutoka tulia tena na uvute pumzi fanya hivyo mpaka muda unaoona unafaa wewe maybe nusu saa nk.
Rudia zoezi hili mpaka ulizoee kabisa utakuja kutoa mrejesho utakuwa noma goli la kwanza unaenda nusu saa mzee baba. Ila mkeo akuvumilie wakati huu unajifunza how to control ur self. Karibu kwa zaidi kama bado hujaelewa.