Nahisi ndoa yangu inaelekea ukingoni kutokana na tatizo la nguvu za kiume

Uliwazalo mara nyingi ndilo likutokealo ila midhali umeamini kama huo ndo uwezo wako basi ndo utaishia hapo. Ikate hiyo hali kwa njia yeyote ile iwe ni matibabu ya hospital , ya kiroho au ya kiswahili ila narudia ikemee sana.

Tendo ni hisia na mara nyingi hsia zikiwa juu kunakuwa na mhemko ndani yake ambao huwa unachochea hisia za mwili kufanyakazi kwa kasi na ikishamaliza kazi yake inakwisha kabisa hamu ya tendo kwa mara nyengine, ndo pale unaposema kama huna hamu ya tendo kwa mara ya pili

Kimaumbile wanadamu tumetofautiana kutokana na koo, asili malezi na kadhalika, ila haiwi ni changamoto sana pale unapokutana na shida kama hii, muda mwengine mpangilio wako wa chakula ndo unafanya hormones zishindwe kuchochea mwili ipasavyo na hiyo hali ndo inapokujia

Nakushauri tumia dawa za akiasili kwani hazina madhara hata kidogo, nami nakushauri nenda maduka ya dawa za asili na mwambie nataka SUFA au SEFIO ya unga kisha uwe unakunywa kwenye maziwa ya vuguvugu au chai kwa muda wa mwezi utaanza kuona matokeo yake. Ni nzuri sana hii dawa naomba usiidharau kisha utakuja kutupa marejesho hapa.

Na kama utapata mafuta ya Habbat Soda pia uwe unakunywa asubuhi kabla hujala kitu na usiku ukishakunywa basi usile tena ndani ya week mbili utaanza kuona mabadiliko kaka.
 
Wewe shida Ni saikolojia..yaani Kuna siku ya Kwanza ulikosea..bila shaka ukapata woga kwamba mke atakuonaje..labda mke alionyesha dalili ya kutokuelewa..labda aliguna aukusonya..na kila ukianza mechi anakutisha na maneno kama usiniangushe Kama Jana..
Wewe tulia pia mwambie mkeo asikubeze akupe moyo mambo yatakaa vizuri
Shukran sana mkuu acha nifanyie kazi hili pia
 
Wewe shida Ni saikolojia..yaani Kuna siku ya Kwanza ulikosea..bila shaka ukapata woga kwamba mke atakuonaje..labda mke alionyesha dalili ya kutokuelewa..labda aliguna aukusonya..na kila ukianza mechi anakutisha na maneno kama usiniangushe Kama Jana..
Wewe tulia pia mwambie mkeo asikubeze akupe moyo mambo yatakaa vizuri
Shukran san mkuu acha nifanyie kazi hili pia
 
Kabla ya mambo kula ushibe kwanza kula karanga mbichi kwa wing kula matikiti na Mbegu zake kwa ujumla changanya asali mbili na tangawizi mbixhi kunywa hapo fanya mazoezi ya viungo kuimarisha misuli kunywa mengi cha muhimu na zaidi nenda kwa daktari upime magonjwa ya damu na njia ya mkojo kwa ujumla.
 
Kwanza lazima ujue kuwa kumridhisha mwanamke sio kuingiza dushe na kuliweka muda mrefu, hapana.

Unaweza kucheza nae na akaridhika kabisa na hiyo dushe ikawa bonas.

Tumia muda mwingi kumchezea mpaka afike then ukija kuweka dushe unakuwa umemaliza mchezo
 
Shukran Sana Kwa kunitia Moyo
 
keypass, Basi kwa hapo jaribu kutumia natural remedies kama tangawizi na asali mkuu. Kunywa maji mengi pia kula ndizi mbivu kwa wingi naimani utaimarika within no time. Huenda mwili wako umenyonya mafuta sana na wengi tunatumia mafuta yasio salama. Tangawizi tafuna kila siku pia kunywa na maji ya kutosha. Itakusaidia sana
 
Hii ikoje mkuu nifafanulie nami niagize
Daah kuna mdau huku nilimpa supplement (korean red ginseng) kaniambia inamsaidia sana fanya kuingia mtandaoni ebay/alibaba uagize mkuu, kwanza wewe kuhisi tuu unatatizo tayari ni tatizo maana unaingia kitandani ukiwaza leo nitaweza kweli, matokeo yake ndio kama ivyo unafeli tena
 
Kwanza lazima ujue kuwa kumridhisha mwanamke sio kuingiza dushe na kuliweka muda mrefu, hapana.

Unaweza kucheza nae na akaridhika kabisa na hiyo dushe ikawa bonas.

Tumia muda mwingi kumchezea mpaka afike then ukija kuweka dushe unakuwa umemaliza mchezo
Jinsi ulivyoongea ni kama vile huwa unashuhudia ninachokifanyaga kabla ya kwenda Sudan Kusini.
 
Basi kwa hapo jaribu kutumia natural remedies kama Tangawizi na asali mkuu. Kunya maji mengi pia kula ndizi mbivu kwa wingi naimani utaimarika within no time. Huenda mwili wako umenyonya mafuta sana na wengi tunatumia mafuta yasio salama. Tangawizi tafuna kila siku pia kunywa na maji ya kutosha. Itakusaidia sana
Shukran Sana mkuu, hili zoezi nalianza leo
 
Mkuu kabla ya ndoa yaani kuoa.

Uko nyuma ulikuaje? Au hukuwahi kuwa na mwanamke wala kusex mpaka ulipokuja kuoa?

Na inamaana ulikuwa unapiga punyeto?
 
Back
Top Bottom