Nahisi ndoa yangu inaelekea ukingoni kutokana na tatizo la nguvu za kiume

Angalau ungetuambia aina/majina ya dawa ulizowahi kutumia ili tuanzie hapo.
 
Angalau ungetuambia aina/majina ya dawa ulizowahi kutumia ili tuanzie hapo.
Amekwambia kutafuna tafuna tangawizi… mazoezi ya kegel alafu asali na maziwa vilihusika na pia alimshirikisha mke wake kutatatua tatizo kwa pamoja nadhani hii ndio sehemu kubwa iliyomsaidia
 
1. fanya mazoezi (Gym au nyumbani, ninapendekeza mazoezi ya kukimbia kuanzia 5.KM per day);
2. Kunywa maji ya kutosha;
3. Kula chakula bora ikiwemo mboga za majani na matunda kwa wingi.
Mwezi unatosha kubadilisha hali yako.
 
Back
Top Bottom