Nahisi Mwanamke wangu anatamani wanawake wenzie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahisi Mwanamke wangu anatamani wanawake wenzie

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by rosemarie, Sep 13, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Sijui kama hili linaweza kuwa geni kwenu,Mwanamke wangu ananizidi umri kidogo kama miaka mitano,kuna kitu ambacho kwangu ni kigeni nikimlinganisha na wanawake niliowahi ku date siku za nyuma,kila tukitoka out na kukutana na wanawake wengine anawaangalia kwa jicho la tamaa,yaani kama mwanaume anavyomwangalia mwanamke kwa kumtamani ndivyo anavyofanya,yaani nimejifanya sioni hili kwa muda mrefu sana na nahisi siwezi kumwambia kuwa hiyo tabia inanikera,kuna wanawake kwenye simu yake wanavyoongea ni kama aliwahi kufanya nao mapenzi siku za nyuma,hivi inawezekana mwanamke akawa anafanya mapenzi na wanawake wenzake na hapo hapo akawa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume?nifanye nini wakuu hii tabia inakera japop sina mpango wa kuoana naye lakini company yake naipenda
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu hapo kwenye rangi kazi unayo na hilo swala la kusagana lipona linaendelea kuwepo mchunguze ujue kama ni msagaji huyo mkeo..
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nitamchunguza vipi?sitaki ajue kama nahisi japo hainiathiri,kwenye umri unasemaje mimi naona ni poa tu
   
 4. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ukimuoa ataacha.
   
 5. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  akheri awe msagaji maana watamsaga wenzake kuliko kuwa changu
   
 6. k

  kisukari JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,763
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  umenichekesha kweli.lakini kuzidiwa kisa mwanamke ni noma.
   
 7. k

  kisukari JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,763
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  mleta mada au anakulisha,maana unasema huwezi kumuoa ila unapenda company yake,na mmezidiana miaka 5
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  acha ushamba
  napenda kutizama wanawake wazuri na kufurahia uumbaji na sina kasoro yeyote mbona??

  Tena hasa twiga na farasi huvutia zaidi.

  Sipendi viswala.
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  We muambie hivi
  unatamani threesome ya wanawake wawili na wewe
  muone ata react vipi..
  akisema poa mwambie hujui wa kumpata wa pili
  akisema halina tabu hilo
  jibu umepata
   
 10. m

  mossad Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka huyo shem wetu ana tabia ya uzi.....................mbele anachoma at the same time nyuma anawekwa uzi. Inawezekana kabisa hao wanawake unaosema anaongea nao kwenye simu walikuwa wanasagana au wanaendelea kusagana ndo maana akiwaona wengine anawamezea mate anatamani nao awakoboe. Mchunguze vizuri huyo, siku mnaweza kulala, ukastukia kakutia dildo(artifial cock) makalioni.................... aha ha ha ha haha!!! sijui utakuja kutuelezea hapa JF ikitokea hivyo?
   
 11. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Ulezi kwa sasa umekuwa mgumu...ukiwa na mtoto wa kike unaweza kujisifu kuwa yuko safe kwa kuwa hana male company kumbe ndio kwishney...anasagana.

  Niliangalia movie moja mama amemlea mwanae kwa kumchunga sana na kumpandikiza maneno ya kutisha kuhusu wanaume...kilichofuata akaanza kusagwa na sugar mummy mmoja...mama hana hili wala lile; kwani alikuwa hashtuki akimwona na wasichana au wanawake.

  Hivyo muwe makini sana na u close wa mabinti zenu na same sex pia. Na msiwatishe sana kuhusu wanaume...wataishia kuwa ma lesbian
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Jina la movie tafadhali
   
 13. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 997
  Trophy Points: 280
  amekuzidi Miaka 5,afu kama anatamani wanawake,...itakuwa anawaangalia huku akikumbuka alivyokuwa kijana..
   
 14. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Hili sio tatizo kaka hii ni BARAKA kubwa sana, cha muhimu ucheze kete zako vizuri! [​IMG]
   
 15. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280

  Heri masizi ya kuni kuliko masizi ya jiko la mchina
   
 16. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  @ 3 somes. wafarans wasema fetatatwhaah! dnt mind the splelling
   
 17. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #17
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  @ chinese! Hivi zile dawa za kukuza zafanya kazi?
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ever been to france?
   
 19. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #19
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Nooo! Hata Nairobi sijafika! LIMAO!!!!
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  zinakuza wanawake tu
  wanamme zinatepesha.

   
Loading...