Nahisi mke wangu kadukua Simu yangu. Hivi inawezekana hiyo?

Kama umalaya huuwezi achia wengine utakuja kuvunja ndoa bure uhangaishe watoto.

Sheria au kanuni moja kuu ya mwanaume mwenye michepuko mingi na ili usigombane na mkeo ni kuhakikisha nyumbani kila kitu kiko sawa au angalau kinakaribia kua sawa.

Wewe unahonga 50,000 halafu luku unanunua ya 5,000 wewe ni mzima kweli?

Cha kwanza ni kuhakikisha mambo nyumbani yamekaa sawa ili mwanamke akose neno halafu ndio unatumia hela yako kuhonga.

Kila kitu kikikaa sawa mwanamke waa hawezi kua na mdomo sana na hata hela ya kuhonga ukimuomba anakupatia ya kwake savings.

Wewe hela ya luku ndio unahonga kwa nini mwanamke asikuhisi vibaya.
SAWA kaka
 
Back
Top Bottom