Nahisi mapenzi yake kwangu yamepungua kama co kuisha kabisa.

Mkuu gharama za kupiga simu ndani ya mwezi huu zimepanda sana,sasa kama ulikuwa unatuma vocha 1000/=alikuwa anawapigia shosti zake,ndugu,pamoja na wewe mwenye moyo wake kwa sasa itakuwa haitoshi hivyo ongeza bajeti ya vocha kiongozi na mambo yatakuwa kama mstari.
 
Utamu wa raha kupeana,asa yeye alikuwa nakupigia tu siku zote ww hupigi inanoga kweli,unavyojisikia sasa ndivyo naye alikuwa akijisikia ulipokuwa hupigi,punguza presha na hisia mbaya,mtoto bado anakupenda sana tu,cha kufanya mrudishe kwenye mud kwa kumpigia simu bila kujali ni mara ngapi na kuongea naye maneno matamu,na kumwambia vile unamiss cm zake za mara kwa mara,na kuanzia hapo upunguze umwinyi wa kusubiri kupigiwa simu!

asante kwa mawazo yako mheshimiwa.
 
senetor,hii kali ugomvi jumapili jumatano tayari ana boyfriend?hiyo mbona inazidi hata ya landcruiser?

nahc hvo coz ugomvi ulikua mdogo 2 na yeye ndo alikua chanzo cha huo ugomvi,akaniomba msamaha bt since then,she has changed.
 
mi wanaume wanaopenda kubembelezwa wananishindaa kabisa, sasa wewe ulimboa na unataka yeye aanza kukupigia simu, mh
 
mi wanaume wanaopenda kubembelezwa wananishindaa kabisa, sasa wewe ulimboa na unataka yeye aanza kukupigia simu, mh

co hvo!unajua k2 ambacho hujakizoea lazma ukishangae mkuu.
 
kuwa mvumilivu kidogo,usianze kuwaza tofauti bra,jipe muda nae mpe muda,we piga simu as if hamkuwa na ugomvi vile,mfanyie vitu ambavyo unahisi vinampaga furaha,mpelekee zawadi anayoipenda zaidi,nenda nae sehemu anazopendaga ku enjoy,mwisho fanyeni kale kamchezo ndo kanamalizaga ugomvi,ukifanya yote hayo bado bila bila ndo uanze kuhisi vinginevyo
 
he sasa mwanaume unangoja upigiwe au umepiga hakupokea
ulimpa hela ya vocha au unalialia tu huk JF
halafu unaonekana umeshazoea vya mdebwedo piga we kidume + ndevu bwana
mwanaume hasifiwi kupigiwa anasifiwa kupiga .....


Duh? ana maji ya kumezea ilo li msg au nimletee
 
Back
Top Bottom