ExactlyUkiwa na pesa alafu ukawa bahili utapigwa limwbata na litakukolea vizuri sana, mpaka ukija kugutuka ushachelewa...
Ila ukiwa na pesa alafu mtoaji na muhudumiaji mzuri, hata mwanamke mwenyewe hakufikiri mabaya...
Mchawi pesa...
Cc: mahondaw
Nilijua tuExactly
😆niliandika kitu nimekifuta, ila kuna wadada wa kimakonde noma sana...mzungu akimpata mmakonde afu ndo kavurugwa, hilo ni zaidi ya limbwata
Sent using Jamii Forums mobile app
NamSijatafiti bado.
No research no right to speak
Dahmkuu hayajakukuta niliishi manyoni singida kwa miezi sita bila kujijua.ilikuwa Kama ndoto iliyojaa mahaba sku hyo akili inanijia nlikuwa niko chini ya mti mkubwa nilaamua kupumzika nipate kivuli baadae akili zinakuja kumbe yule manzi nliekuwa naishi nae pale ni kwake halafu niko mkoani mwake swali lakujiuliza nilifikaje kwake wakati nlkutana nae mkoan kwangu nikatongoza Kama demu wa kuzugia nahisi yule bibie alinipenda kweli na alijua simuhitaj ilibidi ahame na Mimi baada ya kun'gatuka palepale hata viatu sjui nltupa wapi ila skurud kwa Yule manzi ilibidi nidandie fuso wanibebe kishkaji lilikuwa linatoka shinyanga nililikuta pale singida town stendi bahat nzuri lilikuwa linaenda tanga kwa hyo nikafika Home kila mtu alinishangaa nlkuwa wap miezi yote sipatikani wengine walijua nimepotea huu sjui ni uchawi sjui ni limbwata maana Yule nilianza kumpenda kwelikweli hakutaka nitoke hata nje sku hyo nlivyotoka ndo ilikuwa salama yangu laasivyo ningeoa na kutokomea huko kabisa wakazi wa tanga kuna ule unaitwa kupigwa "kipapai" nazani naufananisha na huu
onyo tuwe makini, tufanye ibada tusiwe waongo kama huna mpango nae usimpotezee mda mwambie ukweli ila haimaanishi nitaacha kudanganya maana nshakutana na vitimbwili zaidi ya hivi
samahani kwa uzi wangu mrefu ulikuwa ni ushuhuda tu