Nahisi kuua mtu asubuhi hii, naomba ushauri wenu...

Kuna kaka aliombwa na mkewe fedha mwanaume akamjibu hana, mkewe akamwambie si ukauze hayo matako! Yule kaka anadai kuwa alipofanikiwa kuchomoka hapo nyumbani hakuwahi kurudi tena.
Hahahah kmamamae yani huyo mbuzi angekwa kigezo cha mie kuvaa jezi za rangi ya karoti. Ningepiga hadi huo ulimi mchafu ung'oke mdomoni!
 
Ndio shida ya kuwa marioo " .... kama ungekuwa wewe ndiye msimamizi wa uchumi hapo kwenu mkeo asinge thubutu kunyanyua kinywa chake na kukwambia huo ujinga" ...

Kama sio marioo halafu amekujibu huo utumbo mkuu shtuka umeshaanza kuchapiwa na mwanaume anaye mchapa amemjaza ujinga unao mfanya akudharau " ....

Mrudishe kwao japo mwezi 1 kwanza ili awe na adabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi mbishe zinatokea mwanaume ukiwa weak kiuchumi na mkeo anaku compare na wenzio wanaokuzunguka ambao wamekuzidi. Sio siri anakuona mbwa kweli yani hilo neno halijamtoka bure. Kuna kitu hakiko sawa juu yako!
 
Kuna baadhi ya makosa hufanywa kutokana na Hasira tu, mtenda kosa akipata utulivu hujutia na kuomba radhi. Inawezekana umeathirika kwa kiasi kikubwa sana hadi kufikia kufanya maamuzi mabaya zaidi, pata utulivu wa kutosha ufanye maamuzi sahihi.
 
Hao ndugu NI wa upande wa kwake au wa upande wako?

Na anayewasomesha Nani?

Ukijibu hayo Maswali tutapata picha halisi ili tukushauri vizuri
 
Back
Top Bottom