Nahisi kuua mtu asubuhi hii, naomba ushauri wenu...

Mke wangu kanitukana mbwa asubuhi hii bila kosa lolote.kisa kutoa ushauri baada kushindwa kuelewana na ndugu kwa madogo ya kutoa elimu. Baada mimi kuingilia kwa kutoa ushauri kama baba wa nyumba nimeambulia kutukanwa mbwa kwa kweli nimekosa raha sana nawaza hata kosa langu sijui.

Mungu atie nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kuitwa mbwa unataka kuua mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiku isingekuwa busara kumfukuza hata kama ungekuwa umepata cha arusha yaani hata mie ningekushangaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo namshangaa huyo aliyekua anataka nimtimue mwanamke mwenzie usiku, nadhani ni upeo mdogo wankufikiri alionao ndo sababu ya kuniona bushoke ila angejua wanaume tunavyotumia akili sidhani kama angesema hivyo
 
Nilipoona hii kichwa ya uzi huu nikacheka ka Fala.
Yaan kuitwa Mumbwa ndio unataka Kumrestisha mtu in Pisi?

Umbwa we
 
Mkuuu wewe wa mkoa gani Mura
Sidhani kama mjamzito anaingia period, pia hata kama angekuwa period ningekuwa najua tu

Katika watu ambao wanapenda kufanya matukio ya ajabu basi mimi ni mmoja wao,

Kuna kipindi wakati ni wapenzi aliwahi kuniambia yupo period nikamwambia ngoja nihakikishe, nikaingiza mkono sehemu husika na kuchovya kidole kikatoka na damu, tangu siku hiyo akaniona monster

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke wangu kanitukana mbwa asubuhi hii bila kosa lolote.kisa kutoa ushauri baada kushindwa kuelewana na ndugu kwa madogo ya kutoa elimu. Baada mimi kuingilia kwa kutoa ushauri kama baba wa nyumba nimeambulia kutukanwa mbwa kwa kweli nimekosa raha sana nawaza hata kosa langu sijui.

Mungu atie nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mie juzi nimetukanwa kosa sioni nimeamua kulewa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda niwaulize swali...je mnawapga pumb..vizuri wake zenu? Hakikisha kua unamt..mba vzuri mke wako...kama amekutukana yy mwenyew atakuja kukuomba msamaha....hvyo dawa ni kumt..mba kwa nguvu
 
Na wewe bana, ingekuwa mimi hapo ni action tuu, kama movie la kichina, sasa unakuja kulalama huku, aaaaaah au wewe mvulana aisee
 
Tatizo ana mikwara sana
Kwa hapa unaona nina mikwara, ila ki uhalisia utaniona nina ROHO MBAYA, KATILI, GAIDI, Yaani utaniita majina yote mabaya, maana nikikasirika huwa siongei sana ni vitendo tu

Ila nikiamua kuwa Romantic utanipenda
 
We mwanaume wa wapi? Maana km wa Mkoani unatia aibu wenzio, huwez kutukanwa na m'mke alafu ubaki kuugulia moyoni na kubaki kusema hujui kosa lako ni nini
 
Back
Top Bottom