celinawetu
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,330
- 1,059
Kumekuwepo na jitihada za makusudi toka team dau za KUKWAMISHA mipango ya shirika tajwa hasa katika kukusanya pesa kwa vijana wa timu hiyo kususa kujituma ili ionekane uongozi mpya chini ya profesa wa ukweli,
hii ni pamoja na vijana waliopo ktk daraja kuacha vibanda bila mhudumu,nimepita zaidi ya Mara mbili na kukuta huduma ni vibanda viwili tu huku foleni ikiwa kubwa,nimedodosa kulikoni nikaambiwa ni mgomo ila kisingizio ni kuwa wanaenda kuswali,
unajiuliza hivi hakuna watu wengine ambao wanaweza kuwekwa pale ambao muda wao hauingiliani na imani zao? Nimejaribu sana kudukua hali ya Nssf kwa sasa naambiwa shirika kinaanza kufufuka na hali ya kifedha ni nzuri pamoja na timu hiyo kuleta figisu,kama ni kweli basi utawala ufikirie kuwaweka vijana hao sememu ambazo maslahi ya shirika hayataguswa ili UFUFUO ulete tija