Tupe utalaamu umwejuaje kama anafaa sana?Huyo bodyguard mfupi anafaa sana
Afu baadae wanaanza kulalamika, sheria kandamizi zimepitishwa bungeni. Mf hamna fao la kujitoa, penshion mtumishi apate robo kwa mkupuo then hiyo nyingine atalipwa kidogokidogo. We waache wachekelee tu upinzani kupotea bungeni.Bila wabunge wa upinzani pale bungeni nchi itaendeshwa kwa mawazo ya mtu mmoja(mnamjua)
Upo dunia hii kweliLissu akipata nafasi ya urais Ana namna kadhaa za kufanya.
Kuteua wabunge wale wanaoteuliwa na Rais
Kupunguza Baraza la mawaziri kwa kuunganisha baadhi ya wizara
Kuteua wabunge mamluki kutoka CCM ambao wataamia CHADEMA uchaguzi ujao 2025
Chadema wamekuwa involved na beberu, na kuna msukumo kutoka kwa vibaka wa ubeberu,Ni wazi mchezo wa siasa wa uchaguzi wa mwaka huu upo tofauti kabisa toka kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi!.
Wameunguliwa zaidi ya wabunge 50 wa upinzani ambapo hajawahi kutokea, uongozi wa Tume Juu mpaka wa chini wote wanatenda kazi kwa niaba ya Mwenyekiti & Mkurugenzi wa Tume ambao wote ni wateuliwa wa JPM.
Kwa mazingira yaliyopo ya huo uongozi CHADEMA kupata hata viti viwili vya ubunge ni sawa na ndoto ya mchana ila ukiwaangalia Lissu & Mbowe inaonekana kabisa wanajua hilo na inaonesha wana njia mbadala katika hilo. Je ni kitu gani wamekipanga? na watakifanikishaje?
Tukirudi upande wa Serikali na CCM kwa mazingira yaliyopo ni kama wanatumia kila njia kujua nini ambacho CHADEMA wanaki-plan, kitu ambacho inaonekana bado ni ngumu kung'amua.
Kingine kinacho nisumbua kichwa kwa nini CCM hawataki kabisa upinzani katika bunge lijalo?
Sote tunajua kuwa pamoja na wananchi wengi maelfu Ku support upinzani but kama hakuna kitu kitakacho intervene hamna mbunge wa upinzani hata moja Tanzania bara 1 atakayekwenda Bungeni.
Kuna vitu vingi naviona kwake, huyo jamaa ana training sio ya nchi hii ni level nyingine mkuu.Tupe utalaamu umwejuaje kama anafaa sana?
Mvuto unategemea maslahi ya mlajiJinga wewe hujitambui! Hivi kati ya CHADEMA na utopolo CCM nani ana agenda zenye mvuto?
hii nafasi ulompangia Lema nimecheka hadi nimezimia nashangaa naizinduka niko hospital moja ya wilaya yenye majengo na wafanyakazi wenye sura nzuriiii ila hakuna hata glaps imenibidi niondoke zangu nikanunue pain kilerMbowe waziri mkuu
Sugu akihospitalwa na prof jay waziri wa sanaa na michezo
Lema waziri wa sheria
Heche waziri wa elimu
Mdee waziri wa afya
Kwamba nikisema CHADEMA itashinda uchaguzi huu sitakuwa juha sio? Basi oct 28 lisu atakuwa 'rahisi' chadema watapata wabunge 250 na madiwani 2700Jamaa unaakili nyingi mpaka umekuwa juha
Humo kichwani cheki betri vizuri isije kuwa kwenye hasi umeweka chanya na kwenye chanya umeweka hasiKwamba nikisema CHADEMA itashinda uchaguzi huu sitakuwa juha sio? Basi oct 28 lisu atakuwa 'rahisi' chadema watapata wabunge 250 na madiwani 2700
Mkuu sijachanganya terminal,tatizo betri lilikuwa low.Ila baada ya kuchaji ndio nimekumbuka kumbe amsterdam na bunge la senet lipo nyuma yetu na watanzania tunataka maendeleo ya watu siyo vitu.Lazima jiwe ling'oke mwaka huu si ndio mkuu..? au ?Humo kichwani cheki betri vizuri isije kuwa kwenye hasi umeweka chanya na kwenye chanya umeweka hasi
Hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe mkuuMkuu sijachanganya terminal,tatizo betri lilikuwa low.Ila baada ya kuchaji ndio nimekumbuka kumbe amsterdam na bunge la senet lipo nyuma yetu na watanzania tunataka maendeleo ya watu siyo vitu.Lazima jiwe ling'oke mwaka huu si ndio mkuu..? au ?
Bila wabunge wa upinzani pale bungeni nchi itaendeshwa kwa mawazo ya mtu mmoja(mnamjua)
Upinzani ulishakufa siku nyingi.Bila wabunge wa upinzani pale bungeni nchi itaendeshwa kwa mawazo ya mtu mmoja(mnamjua)
HahahahhaSina cha kuongezaView attachment 1594174
Nitarudia kusomaNi wazi mchezo wa siasa wa uchaguzi wa mwaka huu upo tofauti kabisa toka kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi!.