Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,684
- 93,417
Tutakao uumia ni mimi na wewe ambao hatuna uwezo, Mbowe na Lissu maisha yao ni mazuri lakini wabunge wa CCM wapo ajili ya kumfurahisha jiwe
Jipe moyo, si vibaya but understand that this is Tanzania...Hiyo siri ninaijua na Magufuli anaijua.
Hivi mbona hamuoni kuwa hana nguvu ya kampeni?
Hamuoni hana furaha?
Kuna giza nene na UN is coming.
Endelea kuishi kwa mazoeaJipe moyo, si vibaya but understand that this is Tanzania...
Hawa ndo watu ambao Ccm imewajaza hadi huko TISS. Hawana akili na upeo kabisa!! Wamenyimwa maarifa na hata iq. No wonder hili linchi linaendeshwa kwa akili ya mtu mmoja tu na yenyewe ipo tu!!Endelea kuishi kwa mazoea
What is Tanzania kwenye ulimwengu wa wenye uchumi, akili na teknolojia wewe????Jipe moyo, si vibaya but understand that this is Tanzania...
Hapa kwako tu we mwenyewe ndo inapaswa ieleweke kwamba hatukua na sababu ya vyama vya siasa huku Afrika au kitu kinaitwa demokrasia,weww unasema CCM haitaki kuona upinzani unaenda bungeni na upinzani unasema hautaki kuona serikali ya CCM ..eleweni ya kwamba siasa hii ipo kwa ajili ya kumhadaa mzungu tu ili aone tuna misuguano atupe pesa na aaituletee uasi nchini,siasa haina maana Afrika, bado tunahitaji kutumia ardhi yetu tu kujikomboa kiuchumi basi,siasa inatengeneza umasikini tu kwa kutumia pesa ilihali vijijini hakuna majiNi wazi mchezo wa siasa wa uchaguzi wa mwaka huu upo tofauti kabisa toka kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi!.
Wameunguliwa zaidi ya wabunge 50 wa upinzani ambapo hajawahi kutokea, uongozi wa Tume Juu mpaka wa chini wote wanatenda kazi kwa niaba ya Mwenyekiti & Mkurugenzi wa Tume ambao wote ni wateuliwa wa JPM.
Kwa mazingira yaliyopo ya huo uongozi CHADEMA kupata hata viti viwili vya ubunge ni sawa na ndoto ya mchana ila ukiwaangalia Lissu & Mbowe inaonekana kabisa wanajua hilo na inaonesha wana njia mbadala katika hilo. Je ni kitu gani wamekipanga? na watakifanikishaje?
Tukirudi upande wa Serikali na CCM kwa mazingira yaliyopo ni kama wanatumia kila njia kujua nini ambacho CHADEMA wanaki-plan, kitu ambacho inaonekana bado ni ngumu kung'amua.
Kingine kinacho nisumbua kichwa kwa nini CCM hawataki kabisa upinzani katika bunge lijalo?
Sote tunajua kuwa pamoja na wananchi wengi maelfu Ku support upinzani but kama hakuna kitu kitakacho intervene hamna mbunge wa upinzani hata moja Tanzania bara 1 atakayekwenda Bungeni.
We ni mtoto au ni mtu mzima mjingaMkuu huu ni mwaka wa mapambano tu. Inajulikana kabisa Magu hataki waponzani lakini kwa upande mwingine umma unataka wapinzani kwa hiyo mwaka huu tujiandae kwa mapambano tu. Nahisi sanduku la kura mwaka halitaamua kiongozi wa nchi hii bali uma kwa nguvu ndio utakaoelekeza siasa za tz
Mtu yoyote ninaye muona anatukuza mawazo ya wazungu na kushabikia kile mzungu anamuelekeza namuona ni MPUMBAVU mkubwa kupata kutokeaOndoa shaka there's plan b , Jiwe si ana akili basi Lissu maradufu .View attachment 1593511View attachment 1593513View attachment 1593514View attachment 1593515View attachment 1593516
Umeelimika nini wewe? Unazungumzia elimu hiyo ya madarasani yenye misingi ya kigeni na wageni mnaowatukuza? Unajua kuelimika au unaropoka tu nyambafu.Kumbuka unaandika hapa ili wana JF wasome ambapo wengi wetu tunajitambua na tumeelimika!Propaganda zenu hizi za kipumbavu kaandikeni facebook huenda mkawaokota wajinga wengi!Shwain!
Ccm hatutaki wapinzani wa maendeleo, kwa miaka yote mitano hawajawahi kukubali budget ya serikali hata moja! Sasa watu wa hivyo kuna hana gain kuingia bungeni kutumbua kodi zetu bila kufanya kazi? Wakafie mbele wapinzani wote!Ni wazi mchezo wa siasa wa uchaguzi wa mwaka huu upo tofauti kabisa toka kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi!.
Wameunguliwa zaidi ya wabunge 50 wa upinzani ambapo hajawahi kutokea, uongozi wa Tume Juu mpaka wa chini wote wanatenda kazi kwa niaba ya Mwenyekiti & Mkurugenzi wa Tume ambao wote ni wateuliwa wa JPM.
Kwa mazingira yaliyopo ya huo uongozi CHADEMA kupata hata viti viwili vya ubunge ni sawa na ndoto ya mchana ila ukiwaangalia Lissu & Mbowe inaonekana kabisa wanajua hilo na inaonesha wana njia mbadala katika hilo. Je ni kitu gani wamekipanga? na watakifanikishaje?
Tukirudi upande wa Serikali na CCM kwa mazingira yaliyopo ni kama wanatumia kila njia kujua nini ambacho CHADEMA wanaki-plan, kitu ambacho inaonekana bado ni ngumu kung'amua.
Kingine kinacho nisumbua kichwa kwa nini CCM hawataki kabisa upinzani katika bunge lijalo?
Sote tunajua kuwa pamoja na wananchi wengi maelfu Ku support upinzani but kama hakuna kitu kitakacho intervene hamna mbunge wa upinzani hata moja Tanzania bara 1 atakayekwenda Bungeni.
Uzuri sheria ikipitishwa inakula waliokua wanashangilia ushindi wa jiwe na wale wasiokubali mambo yawe.Bila wabunge wa upinzani pale bungeni nchi itaendeshwa kwa mawazo ya mtu mmoja(mnamjua)
Na ndio maana wanapanda chuki wakijua kabisa beberu akija na maukorofi yake wao(na familia zao)wanakimbilia ubelgiji wewe unayemtetea unapigwa na watoto wako.KWENYE HAYA MAMBO AKILI KUMKICHWATutakao uumia ni mimi na wewe ambao hatuna uwezo, Mbowe na Lissu maisha yao ni mazuri lakini wabunge wa CCM wapo ajili ya kumfurahisha jiwe
Huyu urais atausikia tu! Ndo basi tena!View attachment 1593471
Huyu jamaa haamini kumuona mtu aliyepigia kelele kitambulisho cha mmachinga akiwa sokoni live.
Kwa hiyo wewe kwa michango yako hii humu ndani ndio unajiweka kwenye kundi la wenye akili na IQ kubwa!!? Hivi maprofesa huko vyuo vikuu watu hawa wanapitia mikononi mwenu!?Hawa ndo watu ambao Ccm imewajaza hadi huko TISS. Hawana akili na upeo kabisa!! Wamenyimwa maarifa na hata iq. No wonder hili linchi linaendeshwa kwa akili ya mtu mmoja tu na yenyewe ipo tu!!
Iko ukurasa gani wa ilani ya uchaguzi ya Chadema?Sera zipi... hizi za kusema tutaweka nchi rehani, ama kwamba muiunge mkono chadema kitarudisha madaraka kwa wananchi kama enzi ya ukoloni!! Kweli nini hamuhishi vituko!!