Nahisi kuna jambo kubwa nyuma ya pazia ambalo uongozi wa juu wa Serikali, CCM na CHADEMA wanajua, wananchi hatulijui

Wazungu kushabikia Tundu Lissu inaonyesha kuna agenda ya siri. Sasa asipopata hiyo nafasi ya urais si na wazungu watakuwa wameshindwa? It would be prudent kama wangekuwa neutral ili matokeo yoyote yasiwaumize mioyo. Other wise huyu mze akishinda ataona kama kashinda wote kwa pamoja.
 
Hiyo siri ninaijua na Magufuli anaijua.
Hivi mbona hamuoni kuwa hana nguvu ya kampeni?
Hamuoni hana furaha?
Kuna giza nene na UN is coming.
Jipe moyo, si vibaya but understand that this is Tanzania...
 
Ni wazi mchezo wa siasa wa uchaguzi wa mwaka huu upo tofauti kabisa toka kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi!.

Wameunguliwa zaidi ya wabunge 50 wa upinzani ambapo hajawahi kutokea, uongozi wa Tume Juu mpaka wa chini wote wanatenda kazi kwa niaba ya Mwenyekiti & Mkurugenzi wa Tume ambao wote ni wateuliwa wa JPM.

Kwa mazingira yaliyopo ya huo uongozi CHADEMA kupata hata viti viwili vya ubunge ni sawa na ndoto ya mchana ila ukiwaangalia Lissu & Mbowe inaonekana kabisa wanajua hilo na inaonesha wana njia mbadala katika hilo. Je ni kitu gani wamekipanga? na watakifanikishaje?

Tukirudi upande wa Serikali na CCM kwa mazingira yaliyopo ni kama wanatumia kila njia kujua nini ambacho CHADEMA wanaki-plan, kitu ambacho inaonekana bado ni ngumu kung'amua.

Kingine kinacho nisumbua kichwa kwa nini CCM hawataki kabisa upinzani katika bunge lijalo?

Sote tunajua kuwa pamoja na wananchi wengi maelfu Ku support upinzani but kama hakuna kitu kitakacho intervene hamna mbunge wa upinzani hata moja Tanzania bara 1 atakayekwenda Bungeni.
Hapa kwako tu we mwenyewe ndo inapaswa ieleweke kwamba hatukua na sababu ya vyama vya siasa huku Afrika au kitu kinaitwa demokrasia,weww unasema CCM haitaki kuona upinzani unaenda bungeni na upinzani unasema hautaki kuona serikali ya CCM ..eleweni ya kwamba siasa hii ipo kwa ajili ya kumhadaa mzungu tu ili aone tuna misuguano atupe pesa na aaituletee uasi nchini,siasa haina maana Afrika, bado tunahitaji kutumia ardhi yetu tu kujikomboa kiuchumi basi,siasa inatengeneza umasikini tu kwa kutumia pesa ilihali vijijini hakuna maji

Over
 
Mkuu huu ni mwaka wa mapambano tu. Inajulikana kabisa Magu hataki waponzani lakini kwa upande mwingine umma unataka wapinzani kwa hiyo mwaka huu tujiandae kwa mapambano tu. Nahisi sanduku la kura mwaka halitaamua kiongozi wa nchi hii bali uma kwa nguvu ndio utakaoelekeza siasa za tz
We ni mtoto au ni mtu mzima mjinga
 
Kumbuka unaandika hapa ili wana JF wasome ambapo wengi wetu tunajitambua na tumeelimika!Propaganda zenu hizi za kipumbavu kaandikeni facebook huenda mkawaokota wajinga wengi!Shwain!
Umeelimika nini wewe? Unazungumzia elimu hiyo ya madarasani yenye misingi ya kigeni na wageni mnaowatukuza? Unajua kuelimika au unaropoka tu nyambafu.
 
Huu uchaguzi utafichua ukandamizwaji wa demokrasia like never before. Huyo Wakili wa Lissu na mabalozi wanakufuatilia kwa karibu sana.
 
Ni wazi mchezo wa siasa wa uchaguzi wa mwaka huu upo tofauti kabisa toka kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi!.

Wameunguliwa zaidi ya wabunge 50 wa upinzani ambapo hajawahi kutokea, uongozi wa Tume Juu mpaka wa chini wote wanatenda kazi kwa niaba ya Mwenyekiti & Mkurugenzi wa Tume ambao wote ni wateuliwa wa JPM.

Kwa mazingira yaliyopo ya huo uongozi CHADEMA kupata hata viti viwili vya ubunge ni sawa na ndoto ya mchana ila ukiwaangalia Lissu & Mbowe inaonekana kabisa wanajua hilo na inaonesha wana njia mbadala katika hilo. Je ni kitu gani wamekipanga? na watakifanikishaje?

Tukirudi upande wa Serikali na CCM kwa mazingira yaliyopo ni kama wanatumia kila njia kujua nini ambacho CHADEMA wanaki-plan, kitu ambacho inaonekana bado ni ngumu kung'amua.

Kingine kinacho nisumbua kichwa kwa nini CCM hawataki kabisa upinzani katika bunge lijalo?

Sote tunajua kuwa pamoja na wananchi wengi maelfu Ku support upinzani but kama hakuna kitu kitakacho intervene hamna mbunge wa upinzani hata moja Tanzania bara 1 atakayekwenda Bungeni.
Ccm hatutaki wapinzani wa maendeleo, kwa miaka yote mitano hawajawahi kukubali budget ya serikali hata moja! Sasa watu wa hivyo kuna hana gain kuingia bungeni kutumbua kodi zetu bila kufanya kazi? Wakafie mbele wapinzani wote!
 
Bila wabunge wa upinzani pale bungeni nchi itaendeshwa kwa mawazo ya mtu mmoja(mnamjua)
Uzuri sheria ikipitishwa inakula waliokua wanashangilia ushindi wa jiwe na wale wasiokubali mambo yawe.
Eg. Kupanda kwa kiasi (makato) cha kurudisha Loan board, kikokotoo kikipitishwa kinakula kwetu sote kama ilivyokula kwetu fao la kujitoa!
 
Tutakao uumia ni mimi na wewe ambao hatuna uwezo, Mbowe na Lissu maisha yao ni mazuri lakini wabunge wa CCM wapo ajili ya kumfurahisha jiwe
Na ndio maana wanapanda chuki wakijua kabisa beberu akija na maukorofi yake wao(na familia zao)wanakimbilia ubelgiji wewe unayemtetea unapigwa na watoto wako.KWENYE HAYA MAMBO AKILI KUMKICHWA
 
Mtajaribu kupiga Lamli Lakini Uwezo wenu wa Akili ulipo komea ndio Habari inapo Anzia hapo
Jazaneni Upepo Magufuli ndio Rais mpaka 2025
 
Hawa ndo watu ambao Ccm imewajaza hadi huko TISS. Hawana akili na upeo kabisa!! Wamenyimwa maarifa na hata iq. No wonder hili linchi linaendeshwa kwa akili ya mtu mmoja tu na yenyewe ipo tu!!
Kwa hiyo wewe kwa michango yako hii humu ndani ndio unajiweka kwenye kundi la wenye akili na IQ kubwa!!? Hivi maprofesa huko vyuo vikuu watu hawa wanapitia mikononi mwenu!?
 
Sera zipi... hizi za kusema tutaweka nchi rehani, ama kwamba muiunge mkono chadema kitarudisha madaraka kwa wananchi kama enzi ya ukoloni!! Kweli nini hamuhishi vituko!!
Iko ukurasa gani wa ilani ya uchaguzi ya Chadema?

Ni vema ukajikita kueleza mambo kwa reference sio kama waandikavyo kina jingalao Crimea na wengine wa aina hiyo.

Huko ni kujivunjia heshima, usiwaige hao maana wao ni kama jiwe hawabadiliki
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom