Nahisi kuna jambo kubwa nyuma ya pazia ambalo uongozi wa juu wa Serikali, CCM na CHADEMA wanajua, wananchi hatulijui

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
15,723
28,262
Ni wazi mchezo wa siasa wa uchaguzi wa mwaka huu upo tofauti kabisa toka kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi!.

Wameunguliwa zaidi ya wabunge 50 wa upinzani ambapo hajawahi kutokea, uongozi wa Tume Juu mpaka wa chini wote wanatenda kazi kwa niaba ya Mwenyekiti & Mkurugenzi wa Tume ambao wote ni wateuliwa wa JPM.

Kwa mazingira yaliyopo ya huo uongozi CHADEMA kupata hata viti viwili vya ubunge ni sawa na ndoto ya mchana ila ukiwaangalia Lissu & Mbowe inaonekana kabisa wanajua hilo na inaonesha wana njia mbadala katika hilo. Je ni kitu gani wamekipanga? na watakifanikishaje?

Tukirudi upande wa Serikali na CCM kwa mazingira yaliyopo ni kama wanatumia kila njia kujua nini ambacho CHADEMA wanaki-plan, kitu ambacho inaonekana bado ni ngumu kung'amua.

Kingine kinacho nisumbua kichwa kwa nini CCM hawataki kabisa upinzani katika bunge lijalo?

Sote tunajua kuwa pamoja na wananchi wengi maelfu Ku support upinzani but kama hakuna kitu kitakacho intervene hamna mbunge wa upinzani hata moja Tanzania bara 1 atakayekwenda Bungeni.
 
1602101545186.png

Huyu jamaa haamini kumuona mtu aliyepigia kelele kitambulisho cha mmachinga akiwa sokoni live.
 
Mkuu huu ni mwaka wa mapambano tu. Inajulikana kabisa Magu hataki waponzani lakini kwa upande mwingine umma unataka wapinzani kwa hiyo mwaka huu tujiandae kwa mapambano tu. Nahisi sanduku la kura mwaka halitaamua kiongozi wa nchi hii bali uma kwa nguvu ndio utakaoelekeza siasa za tz
 
Huwezi kuomba uongozi wa nchi kwa kutegemea dola za kigeni. Tangazeni sera zenye mvuto. Taarifa hizi zinathibitisha ajenda OVU mlizonazo dhidi ya nchi kwa kulinda maslahi ya mataifa ya nje. Watanzania sio wajinga wala hawahitaji kurudi utumwani. Tanzania Kwanza.. Mitano tena..
 
Kumbuka unaandika hapa ili wana JF wasome ambapo wengi wetu tunajitambua na tumeelimika!Propaganda zenu hizi za kipumbavu kaandikeni facebook huenda mkawaokota wajinga wengi!Shwain!
 
Mtu alielimika hawezi kuandika kama ulivyoandika wewe unayejiita Tigershark... ni bora wajinga wana nafasi ya kujirekebisha kuliko wapumbavu ambao hujiona wanajua kila kitu kiumbe ndio empty head. Kichwa pipa ubongo kama choroko...
 
Lisu akipata nafasi ya urais Ana namna kadhaa za kufanya.

Kuteua wabunge wale wanaoteuliwa na rais
Kupunguza Baraza la mawaziri kwa kuunganisha baadhi ya wizara
Kuteua wabunge mamluki kutoka CCM ambao wataamia Chadema uchaguzi ujao 2025
Mbowe waziri mkuu
Sugu akisaidiwa na prof jay waziri wa sanaa na michezo
Lema waziri wa sheria
Heche waziri wa elimu
Mdee waziri wa afya
 
Huwezi kuomba uongozi wa nchi kwa kutegemea dola za kigeni. Tangazeni sera zenye mvuto. Taarifa hizi zinathibitisha ajenda OVU mlizonazo dhidi ya nchi kwa kulinda maslahi ya mataifa ya nje. Watanzania sio wajinga wala hawahitaji kurudi utumwani. Tanzania Kwanza.. Mitano tena..

Wewe ndiye mjinga unatumia ujinga wako kufanya propaganda za kijinga hayo mataifa ya nje yametumiwa miaka yote yanavuna tu rasilimali zetu kama Shamba la bibi kama mnauchungu mliachaje hayo yaendelee shame on you na hicho chama chenu cha mbogamboga
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom