elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,704
Nina mpenzi ambaye nimedumu naye kwa kipindi cha mwaka 1 na nusu hivi sasa. Lakini toka mwezi wa tatu nimetokea kupoteza ham ya mapenz juu yake. Yeye anaingia mwaka wa 3 sauti nami naingia mwaka wa 3 udom.
Najitahidi kutomwonesha lakini nashndwa. Tulikuwa tuna mazoea ya kuchat mda mwingi kila siku lakini hivi sasa akituma sms hata kumjibu naona tabu. Asipo nitafta ndo kabisa simtaft. Si kwamba nafanya makusudi lakini sina mapenz kabisa juu yake.
Nataman kumwambia ukweli lakini nahisi ntamuumiza sana kwa kuwa mpaka sasa anaumia kiasi kwamba kamwambia ndugu yangu na marafiki zangu naowafahamu kuwa anaumia kuona nimechange.
Kusema kweli yani akiniita honey au sweet au dear nahisi kukereka yani sitaki hata kusikia akiniita majina hayo.
Jamani naombeni ushauri wenu vipi nimwambie au nikae kimwa