Nahisi kufukuzwa kazi kisa wanawake walionigombania kesi imefika kwenyewe

venchwa

JF-Expert Member
Aug 5, 2016
1,677
1,591
Wanajamii mpo salama?

Ilikuwa tarehe 12 mwezi wa tisa nikaenda mgahawa mmoja unaitwa New castle cafe hapa changi, Singapore,

Niko nimekaa zangu akaja muhudumu ni mfilipino ni demu mzuri tu, akanihudumia, kama kawaida yetu wanaume si kuchelewa ni naomba mawasilino yake akakataa lakin nikamsihi akanipa,
Baada ya wiki moja nikarudi pale kupata kinywaji tunazoeana sana sana nikaanza Kwenda daily ikafika hatua kila nikienda anajua nita kunywa bila hata kumwambia maana alinizoea

Week kadhaa baadae nikawa naumwa nikaenda zangu hospitali, nikakutana na mtoto wa brazil ndo nurse anaitwa lisa, akanihudumia vizuri tu,

Baada ya siku nikaenda tena hospitali akawa amenihudumia yeye, tukawa marafiki pia, nikachukua mawasiliano yake , tukawa tunawasiliana tukataniana
Mazoea yakakolea sana sana sana , nikaenda naye out pale pale pa siku zote, kufika tu yule dada wa pale hakunihudumia na hakutaka kuniangalia kisa nina demu mwingine,

Akachukia kweli, akamaliza muda wake wa kazi shift yake, akawahi kwangu electra street,alipajua maana nimemkanyagia hapo mara moja

Mi nikaendelea kukamua kinywaji muda wa kwenda home ukafika, nikabebana na huyu demu kwenye gari lake, nafika nakuta mtu kwenye korido, akanivuta akanisukuma, ugomvi ukaanza wakavutana nywele pigana , huyo mfanyakazi wa mgahawani akampiga kwa pochi lisa usoni akavuja ,polis hawakuchelewa wakaja wakatupeleka sote ndani kwa mahojiano, cha kushangaza kesi nimepewa mimi eti ndo nimepanga pale kwenye bed sitter hivo ndo nimeleta matatizo, jumatano naenda kureport tena polis nione nini kitatokea,

Nyie mademu nyie

Possible outcome naweza kuwa deported
Au kulipishwa faini,

Nafanyaje na nijibu nn
 
Papuchi ni tamu sana ila kuna wakati huwa chungu km shubiri. Uzinzi haulipwi ungebaki na mmoja hayo yote yasingetokea.
Cha kufanya tafuta mmoja wapo uoe huenda ikawa pona pona yako
 
Wanajamii mpo salama?

Ilikuwa tarehe 12 mwezi wa tisa nikaenda mgahawa mmoja unaitwa New castle cafe hapa changi, Singapore,

Niko nimekaa zangu akaja muhudumu ni mfilipino ni demu mzuri tu, akanihudumia, kama kawaida yetu wanaume si kuchelewa ni naomba mawasilino yake akakataa lakin nikamsihi akanipa,
Baada ya wiki moja nikarudi pale kupata kinywaji tunazoeana sana sana nikaanza Kwenda daily ikafika hatua kila nikienda anajua nita kunywa bila hata kumwambia maana alinizoea

Week kadhaa baadae nikawa naumwa nikaenda zangu hospitali, nikakutana na mtoto wa brazil ndo nurse anaitwa lisa, akanihudumia vizuri tu,

Baada ya siku nikaenda tena hospitali akawa amenihudumia yeye, tukawa marafiki pia, nikachukua mawasiliano yake , tukawa tunawasiliana tukataniana
Mazoea yakakolea sana sana sana , nikaenda naye out pale pale pa siku zote, kufika tu yule dada wa pale hakunihudumia na hakutaka kuniangalia kisa nina demu mwingine,

Akachukia kweli, akamaliza muda wake wa kazi shift yake, akawahi kwangu electra street,alipajua maana nimemkanyagia hapo mara moja

Mi nikaendelea kukamua kinywaji muda wa kwenda home ukafika, nikabebana na huyu demu kwenye gari lake, nafika nakuta mtu kwenye korido, akanivuta akanisukuma, ugomvi ukaanza wakavutana nywele pigana , huyo mfanyakazi wa mgahawani akampiga kwa pochi lisa usoni akavuja ,polis hawakuchelewa wakaja wakatupeleka sote ndani kwa mahojiano, cha kushangaza kesi nimepewa mimi eti ndo nimepanga pale kwenye bed sitter hivo ndo nimeleta matatizo, jumatano naenda kureport tena polis nione nini kitatokea,

Nyie mademu nyie

Possible outcome naweza kuwa deported
Au kulipishwa faini,

Nafanyaje na nijibu nn
Pole sana kaka.
 
Uzur wa wazungu ndo huo tu huwa hawatanii kupenda
Tena kwa tuvitu tudogotudogo tu

Njoo kwetu kwa black nanii
Uko nae in ndoa 5 yrs lakin no mashamsham ya malove ati
Yakhee uo mmojawapo huku home wamebaki wadangaji tu
 
Kasome ha
Wanajamii mpo salama?

Ilikuwa tarehe 12 mwezi wa tisa nikaenda mgahawa mmoja unaitwa New castle cafe hapa changi, Singapore,

Niko nimekaa zangu akaja muhudumu ni mfilipino ni demu mzuri tu, akanihudumia, kama kawaida yetu wanaume si kuchelewa ni naomba mawasilino yake akakataa lakin nikamsihi akanipa,
Baada ya wiki moja nikarudi pale kupata kinywaji tunazoeana sana sana nikaanza Kwenda daily ikafika hatua kila nikienda anajua nita kunywa bila hata kumwambia maana alinizoea

Week kadhaa baadae nikawa naumwa nikaenda zangu hospitali, nikakutana na mtoto wa brazil ndo nurse anaitwa lisa, akanihudumia vizuri tu,

Baada ya siku nikaenda tena hospitali akawa amenihudumia yeye, tukawa marafiki pia, nikachukua mawasiliano yake , tukawa tunawasiliana tukataniana
Mazoea yakakolea sana sana sana , nikaenda naye out pale pale pa siku zote, kufika tu yule dada wa pale hakunihudumia na hakutaka kuniangalia kisa nina demu mwingine,

Akachukia kweli, akamaliza muda wake wa kazi shift yake, akawahi kwangu electra street,alipajua maana nimemkanyagia hapo mara moja

Mi nikaendelea kukamua kinywaji muda wa kwenda home ukafika, nikabebana na huyu demu kwenye gari lake, nafika nakuta mtu kwenye korido, akanivuta akanisukuma, ugomvi ukaanza wakavutana nywele pigana , huyo mfanyakazi wa mgahawani akampiga kwa pochi lisa usoni akavuja ,polis hawakuchelewa wakaja wakatupeleka sote ndani kwa mahojiano, cha kushangaza kesi nimepewa mimi eti ndo nimepanga pale kwenye bed sitter hivo ndo nimeleta matatizo, jumatano naenda kureport tena polis nione nini kitatokea,

Nyie mademu nyie

Possible outcome naweza kuwa deported
Au kulipishwa faini,

Nafanyaje na nijibu nn[/QUOTE kasome kitabu cha Ngoswe penz kitovu cha uzembe utapata jibu mle.kweli wabongo tuwaza ngono hata tukiwa wagonjwa
 
Bible inasema "muovu hutegwa na njia zake mwenyewe"
Kama unajua kuwa upo ugenini kwanini usitulie? Na ulipo mpata huyo mwanamke wa Ki-Brazili,kwanini hukumpeleka sehem nyingine tofauti na kule aliko yule Dada wa kifilipino?
Unapaswa kuwajibika kwa hayo yaliyotokea!
 
Endelea kutafufta wengne tena uwagonganishe kabla hata sku ya kureport aijafka

Watakuacha,watasema kumbe ni asil yako lkn watakurudisha home
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom