Nahisi katiba mpya italeta serikali yaumoja wa kitaifa(muungano wa vyama) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahisi katiba mpya italeta serikali yaumoja wa kitaifa(muungano wa vyama)

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by mzambia, Jan 3, 2011.

 1. m

  mzambia JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jamani nimejaribu kutafakari nimeona ili ccm wasiachie moja kwa moja madaraka ni lazima kwenyehiyo katiba mpya tunayoililia wataweka kipengele cha serikali ya umoja wa kitaifa ilimradi tu waendelee kuwepo madarakani hata kwa kuchakachua

  kwa hilo jamani naomba tuwe makini tusifanye kama walivyofanya wenzetu wa zanzibar.

  Nawasilisha.
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Lakini huo ni mtazamo wangu tu na siipendi kweli serikali ya umoja wa kitaifa

  mi nataka kama ni ccm ccm tu? Kama chadema chadema tu? Cuf cuf tu?
   
 3. e

  emma 26 Senior Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huna hoja nyingine? Ama kwel siku hizi umeishiwa
   
 4. mapango

  mapango Member

  #4
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Moja ya kipengele cha katiba mpya inatakiwa iruhusu muungano wa vyama vya siasa wakati wa uchaguzi inapohitajika. CCM lazima iondoke madarakani kwanza ili kujenga demokrasia ya kweli.
   
Loading...