Nahisi huyu mtoto atakayezaliwa si wangu

Hiyo mimba iogope kama ukoma. Muache afe anatapatapa. Huyo mwanamke ni zaidi ya hatari,..

Mshukuru sana huyo brother, ndo uzuri wa sisi wanaume hatuko tayari kuteketezana.
naam "nikweli ""huyo mume mwenzake "anajielewa mnooo"" halafu ana busara ""mnoo

inaelekea Jamaa naye alikuwa anadanganywa kuwa yupo peke yake na hiyo"" mimba ni yake na jinsi hilo pictr"" lilivyo jitokeza niwazi itakuwa naye amebwaga ""manyanga ""so demu hana pakushika amebaki """kutapa tapa tu mithili ya MfA maji """
 
Ni kulea tu ndugu yangu, sasa kama mama wa mtoto anakwambia huyu ni mwanao utamkataa? halafu nani awajibike? na ukiangalia ni kweli ulikuwa unamto.mba!
kumtomba hicho" hakiwezi kuwa"" kithibitisho kamili ama sahihi kuwa mtoto ni kweli ni damu yako"""
kwani wewe ""umetomba"" mademu"" wangapi mpka sasa wote wana ""mimba yako ""
 
Mkuu una roho ngumu, yaani umeleta ushahidi usio na shaka bado unaomba ushauri? Nawe kanywe sumu naona akili zako uliziacha kwenye chupi ya nasra.
MIMI alinishangaza zaidi alipoamua kwenda kwao kumuulizia kisha akakutana na mam Yake ...hahahaa
yaani katumiwa pictr kuwa demu yupo guest nakamuona akiwa amevaa chupi tu ""then akatajiwa mpka room # ili aendee kujionea kisha akaambiwa ""kuwa ampigie demu aone kama atapokea na kweli demu"" haja pokea na ana Simu 3 lakini akawa ""anasema kuwa nyingine kaziacha sitting room ""..bado tu"" akawa haamini mpaka ""kaenda kwao kuulizia kama demu yupo !?? ..daaahh ama kweli""" mapenzi ni upofu '' ""
 
Subiri azaliwe ukampime DNA pia hata wazazi wako wanaweza mtizama wajue ni wako au sio wako.
Usifanye maamuzi kwa pupa we kuwa mtulivu huwezi jua.
Ila huyo mwanamke sio mwaminifu hata kidogo so kuwa makini mkuu
 
Kwanza huyo dada siamini kama kweli alikunywa sumu.

kwa jinsi wanawake tulivyo inawezekana kabisa alipanga deal kuanzia nyumbani, kwa rafiki yake hadi hospital then ndiyo ukapigiwa simu.

Pole ila daah kuna muda wanawake tunazingua mno.
 
MIMI alinishangaza zaidi alipoamua kwenda kwao kumuulizia kisha akakutana na mam Yake ...hahahaa
yaani katumiwa pictr kuwa demu yupo guest nakamuona akiwa amevaa chupi tu ""then akatajiwa mpka room # ili aendee kujionea kisha akaambiwa ""kuwa ampigie demu aone kama atapokea na kweli demu"" haja pokea na ana Simu 3 lakini akawa ""anasema kuwa nyingine kaziacha sitting room ""..bado tu"" akawa haamini mpaka ""kaenda kwao kuulizia kama demu yupo !?? ..daaahh ama kweli""" mapenzi ni upofu '' ""
 
Ulivomuita geto kumweleza hayo hamajakulana kwel nyie?maan km kumuacha sio lazma umuite hata ktk sim inatosh
 
Inaonekana bado unampenda sana pamoja na yote yaluyotokea, maana pamoja na kuhakikishiwa kwa kupigiwa simu, ku smsmiwa, kutumiwa picha bado ulienda kwao kujiridhisha, ukaenda pia hospital kunuona mupenzi. Ushauri, subiri mtoto azaliwe mkampime DNA mwenye mtoto ahusike na mtoto msimtese/msimdhulumu/msimtupie mtaani mtoto asie na hatia kwa uhuni/starehe zenu. Nasra mamaa mafiga matatu.
 
Ni niseme tu kwa mwanamke mwenyewe ujauzito tena wakwanza huwa wanapenda kuzaa mtoto anayefanana na baba yake huwa ni njia nzuri ya safari ya kuwekwa ndani kabisa kama make. Sasa huyo wakwako sidhani kama upstair yuko vizuri ukijumlisha wewe umeisha ikubali huyo mimba yeye ndo ulikuwa muda wake wa kuishi kwa kurelax miksa mideko sasa badala yake looh! Wanaume dunia sio rafiki yetu. Ushauri wangu Lea mimba kwa uwezo wako wote mtoto atapozaliwa utamuona akiwa wako ni zawadi yako ukiona Hanna dalili basi madhambi yake ila usimuoe utajuta kwakuwa anaonekana kichwani mwake sio kama wanawake wengine.
 
Say NO to Bullshit.

Keep those messages, cling to them as if they were your Oxygen tank. Then block her from your system.

Your Telecom system, Your mind, your present everything.

I cant imagine what it would be like raising a child that wasn't my husband's. Wondering if he knew it wasn't his wondering if at some point the child would look like him and clear my conscience or if at some point my own damn child would question my loyalty.

Some women got steel balls man.
Hicho kidhungu chako mama..........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom