Nahisi huyu mtoto atakayezaliwa si wangu

heee baba ‘kija’ mi nikajua umenisamehee na tushayamaliza sa huku umeyaleta ya nini tena??? niamini hii mimba ni yako yule mshkaji aliniteka sina mahusiano nae
 
Wahenga tunasemaga kitanda hakijawahi kuzaa haram sheikh

Huo msemo unatumika kwa wawili waliooana siyo kwa marafiki ambao kila mmoja analala kwake!
Hiyo sio maana yake japo unaoneka na muhenga. Kitanda chochote kiwe cha guest au cha nyumbani, mtoto atakaepatikana hapo sio haramu. Maana yake hakuna mwanadamu haramu aliye umbwa tayari na mungu. Km sio wako, basi sema si wako lkn kusema haramu ni kudhalilisha utu wa mwanadamu na kukufuru uumbaji wa mwenyezi mungu. Haramu ni kile tu kilicho haramishwa na Mungu tu.
 
Sibiri miezi ipite ajifungue, mtoto aweze kujionyesha (baada ya wiki 2); kama ni wako toa matunzo.
Ila USIWE NA UHUSIANO NAE! Hata akitubu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom