Nahisi hili ndo litakuwa vazi la taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahisi hili ndo litakuwa vazi la taifa

Discussion in 'Jamii Photos' started by Wingu, Feb 29, 2012.

 1. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mheshimiwa kaanza kutoa mwelekeo
   

  Attached Files:

  • vazi.jpg
   vazi.jpg
   File size:
   199.5 KB
   Views:
   396
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,832
  Likes Received: 10,152
  Trophy Points: 280
  Hilo sivai hata bure
   
 3. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwangu mimi liko poa sana! Linaonyesha utambulisho wetu kama taifa la tanzania! Kuna watu wanapinga kila kitu sijui wanadhani ndo ujanja!? Eti mbona nigeria na ghana sijui hawajaweka rangi za bendera! Kana kwamba lazima tuige! Kinachotakiwa ni identity period!!
   
 4. r

  rubby Senior Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  choka mbaya
   
 5. MANI

  MANI Platinum Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,413
  Likes Received: 1,873
  Trophy Points: 280
  Na joto hili la Dar !
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,832
  Likes Received: 10,152
  Trophy Points: 280
  ukivaaa hilo labda una upele au makovu mikononi hutaki watu waone...teh teh teh haliko mazingira friend...
   
 7. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Atavaa na familia yake
   
 8. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  Ilo kama jong-lai vile..au kwavile lina flag ya tz??
   
 9. H

  Haika JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mi naona kama ni zuri, wanawake je?
   
 10. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Nafikiri vazi la taifa ni zaidi ya bendera na rangi zake. Vazi la taifa linatakiwa ku-reflect mila tamadaduni na uasili wetu kama taifa na sio just mshono!!
  mie namuunga mkono aliyesema hilo havai kwani hilo shart nahisi asili yake ni magharibi tu sasa utaifa gan hapo?????
   
 11. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,224
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 280
  Mimi ninachoomba tusilazimishane kuvaa hayo mavazi maofisini mtakapoyabuni hasa sisi wafanyakazi serikalini!Maana hawakawii kutuwekea zengwe ooh mara siku flani lazima kila mfanyakazi avae vazi la taifa!!Tunamashuka yetu,njuga na manyoya sisi wa kabila letu yanatosha kuwa identity yangu!!Hayo ya utaifa wenu vaeni kwa starehe zenu!!
   
 12. Nebisirwe

  Nebisirwe Senior Member

  #12
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa watu weusi halijatulia saana
   
 13. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Litakuwa vazi la magamba!!
   
 14. Chakuchambuka

  Chakuchambuka JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hlo la CCM.......
   
 15. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,775
  Likes Received: 8,040
  Trophy Points: 280
  Acha kutoa povu mkuu.

  Kama kila unachosuggest ni cha kipuuzi ni dhahiri kitapingwa. We suggest jambo la maana uone kama litapingwa. Au ulitaka wote wawe na mtazamo kama wako.

  Haya basi kanunue jozi tatu, umpatie mkeo na yule mtoto unayelea ukidhani wa kwako
   
Loading...