Nahisi hii ndo ratiba ya jk kuanzia asubuhi mpaka jioni

Hapo kwnye ratiba mbona sijaona muda wa kuchekacheka!! .......
MAPROSOO.
 
Mshkaji hana ratiba kama hiyo mkuu, labda kama unampangia wewe kwa mara ya kwanza, sijaona ratiba za mazishi thats why naipinga ratiba yako

na kucheza karata kwenye kompyuta. kuwapigia clouds simu ili wamchomee nyimbo kwenye cd, au flash na kusoma fesibuku ya mwanaasha
 
Back
Top Bottom